"...kupumzika", na kutoingia JF na kudondosha vimaneno viwili, vitatu? HAPANA!Huyo mzee alionekana kwenye ile video moja ya Bashite alipoenda Lumumba kipindi kile kapewa ukatibu wa itikadi na uenezi alikua kwenye msafara member waliomtambua walimtaja na yeye alikiri huyo labda kaamua apumzike au alipata dhoruba la October 29.
Nina uhakika! naishia hapo,more evidence laterHuyo wa Cuba hakuwa mlutheri, hicho kizee ni mlutheri.
Huyo wa Cuba hakuwa mhehe huyo mzee ni mhehe.
Huyo wa cuba maandishi yake yanaeleweka na alikua na uwezo wa kuchambua mambo huyo mzee alikua na vijistori tu kuchambua mambo hakuwa na uwezo mkubwa.
Mwisho ni mwandiko baina ya hao wawili inatoa hitimisho uliyemtaja sio huyo .
"...kupumzika", na kutoingia JF na kudondosha vimaneno viwili, vitatu? HAPANA!
"Dhoruba" inawezekana sana.
'johnthebaptist' uandishi wake ndiyo ilikuwa 'brand' mahususi ambayo ilimtambulisha.Inawezekana pia kuna ID nyingi huu ambazo ni verified waliacha kuingia ila in real life wapo tunawaona mfano mmojawapo ni Mnyika.
Mbamizwa katumeniMzee wa KANISA MOJA TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME.
'johnthebaptist' uandishi wake ndiyo ilikuwa 'brand' mahususi ambayo ilimtambulisha.
Yaani kuiacha ile 'brand' na kuchukuwa nyingine mpya na kuizika kabisa ile ya mwanzo, ingebidi aende kozi mpya kabisa kujifunza staili ile mpya, ambayo isingweza kuingiliawa na ile ya zamani..
Uandishi ni kama tabia, kuiga tabia mpya kabisa ni jambo gumu sana.
Nilitaka kuweka mfano wa huyo uliyemtaja, lakini nimeghaili; halitakuwa jambo jema, hasa kwa heshima niliyonayo juu yake.
Kuna uwezekano mwenzetu huyu hatunaye tena duniani, maana last activity ni Sep 6 2025, baada ya ile ban ya siku 90 hakurudi na tunajua kilichotokea oktoba, watu wengi sana waliuawaRIP!?🤯
Kama utani kumbe mtu muda huu kabakia mifupa😪😭❗Kuna uwezekano mwenzetu huyu hatunaye tena duniani, maana last activity ni Sep 6 2025, baada ya ile ban ya siku 90 hakurudi na tunajua kilichotokea oktoba, watu wengi sana waliuawa
Big NO. johnthebaptist alikuwa chawa wa Magu. TAL hawezi kuwa chawa wa Magu kwa vyovyote vile.Kifalsafa hapo ina maanisha huyo yohane mbatizaji ni lissu.
Kabisa mkuu, humu JF ukiacha IDs chache ambazo uongozi wa JF ulipata taarifa za vifo vyao ambao wamewekewa badge ya RIP, Kuna IDs nyingi zipo inactive kwa watumiaji kufariki lakini kwa kuwa taarifa zao hazikufikia uongozi wa JF basi zinaendelea kuonekana kama vile labda wamiliki wamezitelekeza na kufungua IDs mpya kumbe tayari wametangulia mbele za hakiKama utani kumbe mtu muda huu kabakia mifupa😪😭❗
Is this a fact?Huyu alipewa majukumu ya "ushauri" ndani ya serikali ya Samia na Genge. Tokea wakati huo kaamua asiingie tena JF.
kumbe ndio mana mchezo na maamuzi ya Samuya kama kibibi ''copy and paste''Huyu alipewa majukumu ya "ushauri" ndani ya serikali ya Samia na Genge. Tokea wakati huo kaamua asiingie tena JF.
🤣🤣🤣johnthebaptist atakuwa ndio yule shehe mashetani aliyelimwa risasi ya tako akicheza na wajukuu zake nyumbani kwake. Tumuombee kheri.