An extreme coincedence? Kuanguka kwa Mbowe na kupotea kwa Johnthebaptist!

Mbowe alisimama dede nchini wakati wenzie wanaenda kuomba political asylum..Jaribu kumpa heshima haata kidogo .
 
Mbowe alisimama dede nchini wakati wenzie wanaenda kuomba political asylum..Jaribu kumpa heshima haata kidogo .
Na yeye alikuwa anawindwa... Wenzake wote waliwahi kutekwa na kucharazwa mijeledi... Yeye je?
 
Usikute ndio yule wa kujiita Tlatla
 

Mkuu Allen Kilewella , ahsante kwa maelezo mujarabu , naam ni kama nilivyosema tangu mwanzo huyu mzee kuna watu wanamfahamu na nililijua hilo kupitia ile siku Bashite anaenda Lumumba aliendesha pikipiki kuna members walimtag huyu mzee baada ya kumuona kwenye ule msafara ndio akakiri ni yeye ila hawakutaja direct kavaa vipi ila wanamfahamu , ninaamini nawe ni miongoni mwao ni jambo la kheri kama yuko hai maana ushetani wa CCM kwa sasa umewafikia wanaccm hakuna aliye salama hata wapiga mapambio ni suala la muda watafikiwa tu , unaweza kujaribu kufikiri mtu kama Nchimbi hakuwahi kutegemea leo hii watu watapiga hashtag za free Nchimbi ila ndio upepo umebadilika.
 
Mshana Mimi Nina mashak na wewe ni Mganga tena kweli kweli na sio wale wahanga njaaa🤸
 
Huwezi jua,inawezekana tayari yupo ndani ya shimo la hewa,anyway au majukumu yamezidi.....
John the Baptist popote ulipo ikiwa unaweza kuchungulia humu jukwaani fanya hivyo,kwani wengine wanakaribia kusema R.IP
 
Shukrani sana mkuu kwa ufafanuzi huu.. Kumbe mkubwa ni almost age mate 🙆🏿‍♂
Tunamuombea afya njema huko aliko
 
Nilikuwa namfananisha na kiongozi wa machawa wa Chadomo bwana Erythrocyte
 
Watanzania hawajarudi sawa toka October 29...sio wa JF tuu maeneo mengi...
Huwezi jua nini kilimpata aua anawaza nini kuhusu hii nchi na serekale yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…