Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Mkuu kwanza pole kwa miangaiko ya kila siku na nakushukuru kwa kutupa nafasi ya kukuuliza maswali.Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.
View attachment 1365715
Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Mkuu samahani kama nimekukwaza, lakini kutoa tu support kujenga nyumba ya Bwana kunamzuiaje mtu kutubu dhambi zake (kama anazo)? Tafadhali hata wasiomjua Mungu wanaweza kutumiwa kujenga ufalme, karibu na wewe mkuu wangu tusaidiane kuujenga ufalme.Wachumia tumbo nyie,watu tunauliza atubu Dhambi wewe unaomba sadaka,!
Me nakushukuru kwa kujibu maswali kwa utulivu bila kuhamaki pamoja na kwamba hayawarudhishi wengi, mengine yoooote wanayokutuhumu watanzania wenzao utajijua wewe na Mungu wako.Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.
View attachment 1365715
Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Yale mawe utayafuta lini?Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.
View attachment 1365715
Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Asee wewe 😂 😂Utagombea tena Ubunge mwaka huu?
Umenikwaza!...hayo ya sadaka ungeona haya ilhali watu wanajadili matendo yake maovu!Mkuu samahani kama nimekukwaza, lakini kutoa tu support kujenga nyumba ya Bwana kunamzuiaje mtu kutubu dhambi zake (kama anazo)? Tafadhali hata wasiomjua Mungu wanaweza kutumiwa kujenga ufalme, karibu na wewe mkuu wangu tusaidiane kuujenga ufalme.
Nimeshajibu, NI sensitive matter , Kuna vitu humo kwa Sasa Mimi sio MSEMAJI wakeMh Mwigulu,ikikupendeza jibu post namba 73 ya member Bila bila.Ni muhimu sana tukapata huo ufafanuzi.
Wewe jamaa huwa unaunga juhudi kumbe ni kama sisi tuUnazungumziaje ubora wa shule zetu pale Iramba na kwingineko Tanzania??
Kwanini wanao wasisome pale Iramba au kwenye shule za serikali kama wapiga kura wako wafanyavyo? na wewe kipindi hichi ukiwa mbunge usiishi pale Iramba for more than 60% of your life??
Ukiwa waziri wa mambo ya ndani Nape Nnauye alitolewa bastola hadharani na askari anayeaminika kutumwa na Paul Makonda na wewe hukuchukua hatua yoyote kinidhamu kwa yule askari. Unazungumziaje pia hili?Hi Post in VITU VINGI, VINGINE KWA SASA MIMI SIO MSEMAJI WA MAMBO HAYO. ILA ANAYEHITAJI KUJUA NINACHOKIJUA ANITAFUTE KWA SIMU NIMFAFANULIE
Kwani uvae usivae skafu inatusaidia nini Mkuu