Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
1. Hili jibu halikusaidii Mheshimiwa, kama hutaki kutujibu hapa ondoka maana hatujakuita umejileta mwenyewe. Tulishazoea ndugu zetu wanauawa mnafurahi, Leo unaulizwa unakwepa eti watu wakutafute pembeni!!? Waambie Watanzania nini kilichotokea?Nitafute nikufafanulie maana inaonekana HUJUI KABISA
2. Tupe picha moja ukiwa Ilboru umevaa skafu vinginevyo huo ni uongo kama uongo mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app