Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Freddie Matuja,
Mkuu Freddie Matuja
, naunga mkono hoja yako, kuwa waliomshambulia Tundu Lissu ni watu wasiojulikana na sio vijana wetu wa kazi, wasinge fanya kazi mbovu, chafu na ya kiwango cha chini namna ile kama amateurs na sio ma pro, unless kwa sasa, hivi ndio viwango vyao!.

Kanisome hapa kwa makini, niyazungumzia makundi mawili ya wasiojulikana na 'wasiojulikana' na kuzungumzia scenario 3 za the motive behind shambulio la Lissu
1. Threat to National Security done by amateurs
2. Party Politics done by inside job
3. Devide and Rule done by mabeberu

P
 
Nietzsche, p
Mkuu Nietzsche
kwanza asante sana kwa very objective contribution, na kiukweli wewe ni mmoja wa wasomi wachache ulioelimika na kuweza kuitumia elimu yako kuibadili jamii. Kama wewe na Mwalimu, wanafunzi wako wanafaidi sana.

Bandiko lako hili kwanza ni bandiko darasa, kwasababu kiukweli kabisa kuna vitu vingi tuu mimi huwa na comment humu jf with a different motive behind, sasa ninapokusoma nondo ulizomwaga humu, najiona ni mwanafunzi wa primary, asante sana kwa hili. Na panapo majaaliwa nitakutafu on one on one nikutumie kama resource person kulisaidia taifa katika programs zangu.

Yote uliyosema, nakubaliana na wewe, nimeishi kidogo Sweden na Uswisi, wasomi wa ukweli hawajivunii usimi wao. Uswis ukienda kazini na baiskeli unaongezewa mshahara.

Watu wasomi wa ukweli wa Ph.D za ukweli hawatambii Ph.D zao, wala hawajiandiki ma Dr. etc, lakini watu wenye Ph.D za kubahatisha...., utawakoma!.

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipewa Dr. Kadhaa za heshima, hujawahi kumsikia akiita Dr. Nyerere, hata Mkapa pia, lakini sikumbuki kumsikia akiandikwa popote Dr. Benjamin William Mkapa.
Lakini Dr. Jakaya Kikwete, Dr. Reginald Mengi, Dr. Mary Nagu, Dr. Mary Mwanjelwa, Dr. Raphael Chegeni, etc, angalia CV zao, utashangaa.

Ni kweli nimemsifu Mwigulu kwa kusoma Ilboru, na usomi wake ni wa ukweli, naomba kukiri, lengo la sifa hizo ni some motives behind.

Kwenye uandishi, kuna kitu kinaitwa interviewing skills, ukijijua una taka kumtandika subject wako maswali kigongo, mlainishe kwanza kama kwenye foreplay kwenye yale mambo yetu, ndipo unamchapa...swali.

Hata lile swali langu kwa Mhe. pale Ikulu, unaanza kwa kusifu mtu analainika, anasmile akijua kazi yako ni kusifu, kisha unatwanga swali.

Mhe. Mwigulu ameulizwa maswali mengi magumu na ameyajibu, mimi nimemuulizwa vijiswali vitatu tuu tena very simple,
  1. a. Ulizaliwa wapi, b. mwaka gani na c. ulipozaliwa ulipewa majina matatu yapi?
  2. a. Ulianza shule wapi, b. mwaka gani na c. uliandikishwa kwa majina matatu yapi?
  3. a. Ulimaliza shule darasa la saba wapi, b. mwaka gani, na c. ulimaliza kwa majina matatu yapi?.
Mpaka sasa hajajibu, hivyo nikajaribu kuendelea kubembeleza kwa kumlainisha na kila sifa, ili ajibu, na assume bado yuko busy ila akipata muda, atajibu.

Thanks again for your observations na kwa shule uliotupiga humu.
P
 
Blazaaaa hapa umepigwaaaaaa lakini nimefurahi umekubali kuwa unaandika ukiwa na "certain motives behind"..... ….........

Tafutaa Luna udhi amewahiiii kuandikaas sanaaa akaishiiia kujiumaumaaa weeeeee

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Nimekubali, naomba nikumbushe huo Luna udhi amewahiiii kuandikaas sanaaa akaishiiia kujiumaumaaa weeeeee
P
 
Mh.kwanza nikukaribishe ten a jukwaani

Maswali mengi uliyoulizwa ni speculations za watu wasiojua nchi hii inaendaje

Mimi kama mwanaccm mkomavu hapa jukwaani ninayoimani kubwa sana kwako na pia najua wananchi wa iramba wanakukubali sana

Nangojea kampain zianze nije kukupa kampani

USSR
Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.

View attachment 1365715

Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Freddie Matuja
, naunga mkono hoja yako, kuwa waliomshambulia Tundu Lissu ni watu wasiojulikana na sio vijana wetu wa kazi, wasinge fanya kazi mbovi, chafu na ya kiwango cha chini namna ile kama amateurs na sio ma pro, unless kwa sasa, hivi ndio viwango vyao!.

Kanisome hapa kwa makini, niyazungumzia makundi mawili ya wasiojulikana na 'wasiojulikana' na kungumzia scenario 3 za the mitive behind shambulio la Lissu
1. Threat to National Security done by amateurs
2. Party Politics done by inside job
3. Devide and Rule done by mabeberu

P
Mkuu Paskali,
Umeweka link za kutosha na nimeweza kusoma kupata clarity. So far kuna masuali mengi ambayo hayana majibu. Na pamoja na kuweka majina ya wahanga, kuna vifo vya wa wastaafu na walio madakani kuna wakati wazee wa "clean-up" huwa wana msemo wao, "he knows too much, he has to go because the dead man can not talk". Wangekuwa hawa, bila shaka the job could be finished Dodoma hospital maana these people are avery where in the function in every profession. Failure on bullet could easily be finished in emergence room. Kama ni amateurs kuna lots of logic ku-validate facts, au kama ni "internal conflict" kuna facts za kufikiri kama kifo cha Chacha Wangwe na Mchungaj Mtikili kuna answered questions na sio maswili mawili au matatu.

Well, tuwaacha wenye kazi zao wafanye zao kwa "maslahi ya mifumo iliyopo kwa viapo" tukumbuke John F. Kennedy aliondolewa, Bob Kennedy nae vilevile, Martin Luther King Jr, Pope John Paul aliponea chupuchupu, Princes Diana na kipenzi Dodi Al Fayed waliondoka kwa ajali; haya yanatupa picha conspiracies hazitaisha leo wala kesho.

Waslaam
 
UWAZIRI sio agenda ya mtaani. Wewe ndio huwa unateua MAWAZIRI.? MIMI NATIMIZA MAJUKUMU YANGU KAMA MBUNGE NA KAMA KADA WA CHAMA CHANGU
Una maana ya kusema kuwa wakati ulipokuwa waziri, ubunge na ukada wa chama uliuvua? Ulikuwa huko tayari na hupatikani kuwasikiliza wananchi na wanachama kama sisi!
 
1.Ule ushahidi wa ugaidi wa Rwakatare uliosema unao na hata mbinguni uko tayari kuutoa ilikuwaje usiutoe hadi kufanya gaidi aendelee kutamba mitaani?

2.Tundu Lissu alishambuliwa wakati wa uongozi wako, lakini hadi unaondoka madarakani hakuna chochote cha maana kilichofanyika zaidi ya danadana za maneno toka kwako na Polisi uliokuwa unawaongoza?

3.Polisi wako wa Dodoma chini ya uongozi wako walisema wana video za tukio zima kupitia CCTV, lakini alivyoingia LUGOLA akasema eneo hilo la makazi ya viongozi hakukuwahi kuwapo na CCTV, nani mkweli kati yenu.

4.Wakati wa uongozi wako kuliasisiwa dhana ya "Wasiojulikana" ambao walitesa Watanzania wengi na wengine kuuawa na kuokotwa fukweni na mitoni wakiwa kwenye viroba, ulipoulizwa ukasema ni wageni lakini ulipobanwa ukakaa kimya, Leo unatwambia nini kuhusu maiti hizi na dhana ya wasiojulikana ambayo ni wazi kwako walijulikana na wanajulikana?

4.Ben Saanane na Azory Gwanda walipotea/walipotezwa wakati wa uongozi wako, na ulihusishwa na upoteaji wao, hebu Leo umejitokeza baada ya kupotea JF kwa muda, ni kwa vipi usihusishwe na upoteaji wao?

5.Uzalendo ni kuipenda nchi, na huwezi kuipenda nchi bila kuwapenda wananchi. Ni vipi uzalendo upimwe kwa kuvaa Scarf yenye rangi za bendera ya Taifa, huku ukifurahia kupotea kwa maisha ya wananchi?

6.Katiba yetu inasema nchi yetu inafuata Demokrasia ya vyama vingi, Je, katazo la mikutano ya kisiasa ulilolisimamia kwa nguvu zako zote linapata uhalali kupitia sheria ipi?
akijujibu hayo maswali nijulishe kishaulizwa toka juu huko ila anakwepa kujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Paskali,
Umeweka link za kutosha na nimeweza kusoma kupata clarity.

Well, tuwaacha wenye kazi zao wafanye zao kwa "maslahi ya mifumo iliyopo kwa viapo" tukumbuke John F. Kennedy aliondolewa, Pope John Paul aliponea chupuchupu, haya yanatupa picha conspiracies hazitaisha leo wala kesho.
Waslaam
Duh umenikumbusha mbali, tena ndani ya Vatican ndio usiseme kabisa, mwaka 1979 baada tuu ya kifo cha Papa Paul VI, alikuja Papa John Paul I, hakumaliza mwezi!, ndio akaja Papa John Paul II, ndipo padri mmoja insider wa Vatican, ambaye ni mwandishi wa vitabu, Malachi Martin, uzalendo ukamshinda, akaacha upadri na kuanza kuvurumisha madudu ya Vatican kupitia vitabu vyake!. ameisha andika vitabu zaidi ya 30!.
P
 
Mimi ni CCM, KATIBA YA CCM NAIJUA, NA UTAMADUNI WA CCM NAUJUA, 2020 NI CHAGUA MAGUFULI, KAZI IENDELEE
Eti mtu wa sampuli hii naye ameshawahi kua waziri, hii nchi bado sana! Tunajali zaidi katiba ya chama cha majuha (CCM) na utamaduni wa genge la majuha wa CCM kuliko maendeleo ya nchi. Majuha wote wa Lumumba wanajua kua maendeleo ni SGR, ndege na barabara hata wenye PhD kama wewe!
 
Mkuu Paskali,
Umeweka link za kutosha na nimeweza kusoma kupata clarity. So far kuna masuali mengi ambayo hayana majibu. Na pamoja na kuweka majina ya wahanga, kuna vifo vya wa wastaafu na walio madakani kuna wakati wazee wa "clean-up" huwa wana msemo wao, "he knows too much, he has to go because the dead man can not talk". Wangekuwa hawa, bila shaka the job could be finished Dodoma hospital maana these people are avery where in the function in every profession. Failure on bullet could easily be finished in emergence room. Kama ni amateurs kuna lots of logic ku-validate facts, au kama ni "internal conflict" kuna facts za kufikiri kama kifo cha Chacha Wangwe na Mchungaj Mtikili kuna answered questions na sio maswili mawili au matatu.

Well, tuwaacha wenye kazi zao wafanye zao kwa "maslahi ya mifumo iliyopo kwa viapo" tukumbuke John F. Kennedy aliondolewa, Bob Kennedy nae vilevile, Martin Luther King Jr, Pope John Paul aliponea chupuchupu, Princes Diana na kipenzi Dodi Al Fayed waliondoka kwa ajali; haya yanatupa picha conspiracies hazitaisha leo wala kesho.

Waslaam
Kwa andiko lako hili , unabariki uwepo wa watu wenye njaa na maisha ya watu !!. Kisa kulinda mfumo uliopo madarakani !!. Hawa watu wameingia madarakani ki democracy kabisa. Hii hofu ya kufikiri mtu mwenye mawazo tofauti au itikadi tofauti hafai kuishi inatokana na nini ?!

Wao wafanye kazi yao, halafu waruhusu democracy iliyowaingiza madarakani ifanye kazi. Lakini si kufikiria ku zuia wengine kuishi kisa madaraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri ni kitu gani kikubwa umekifanya kwa wana Iramba ambacho watakukumbuka na unafikiri nini utakifanya kwa miaka mingine ijayo iwapo utachaguliwa,unadhani unayokusdia hakuna MTU anaweza kuyafanya na kuvaa viatu vyako 2020?
 
Kwa andiko lako hili , unabariki uwepo wa watu wenye njaa na maisha ya watu !!. Kisa kulinda mfumo uliopo madarakani !!. Hawa watu wameingia madarakani ki democracy kabisa. Hii hofu ya kufikiri mtu mwenye mawazo tofauti au itikadi tofauti hafai kuishi inatokana na nini ?!

Wao wafanye kazi yao, halafu waruhusu democracy iliyowaingiza madarakani ifanye kazi. Lakini si kufikiria ku zuia wengine kuishi kisa madaraka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna pahala ambapo nimeunga mkono matendo ya kuondoa maisha ya watu. Ila nimetoa scenario kadhaa ambapo mifumo ya kwingineko pia duniani, huwa inafanya clean-up; kwa faida ya nani, bila shaka ni maswali ambayo wataalam wa kazi zao husema "the less you know the better"

Wewe unaeshadadia Demokrasia, sijui unazungumzia nchi gani na chama gani. Maana kama ni wale wanaojinasibu kuwa wanademokrasia na maendeleo, 2015 walipokea fungu na kumwondoa mgombea wao Dr. Slaa aliekijenga chama kwa muda mrefu na kumpa EL form mmoja tu na hakushindanishwa. Unapozungumza demokrasia, ilitakiwa good practice ioneshwe na CDM. Hii ikijumuisha kurithishana uongozi alikofanya Mtei, kwenda kwa Bob Makani, na Bob Makani kuja kwe Freeman Mbowe; tokea Freeman kumata kiti, zimerejea zama za strong leader ambae ndiye pasipo yeye hakuna mbadala. Hivi mbona Bob Makani alidumu kwa miaka 5 tu?

Unapokomaa ni kibanzi kwenye jicho la jirani, angalia boriti kwenye jicho lako.
 
Dr Mwiguli Nchemba vipi bado una ndoto za kuwa Rais wa jamuhiri ya Muungano wa Tanzania? na je tukikuchagua kuwa Rais wetu utaifanyia nini Tanzania kwa niaka 5 ya mwanzo?
 
Mimi kama mimi ninachoona Wa Tz hatujawahikuwa serious... hayo yote watu wanayoandika, tena wanaandika baada ya mhusika kupost kitu.. inaonyesha sisi ni watu wa kusahau na kuridhika tu,

Ingekuwa kwa wenzetu wanaojua kukinukisha hali isingekuwa hvyo... wasingekuwa wamerelax, nimesoma majibu ya jamaa yaani ya kimasihara tu wala si mtu anayeonekana kujali
Hata bwana Kangi TAKUKURU wanasema makosa yao ya uhujumu uchumi... lkn wapo uraiani, na uchunguzi ushafanyika ikiwemo kuwahoji wakiwa nyumbani tena wanaenda na magari yao na kuondoka.. hapo hapo kuna watu wanakaa miaka upelelezi haujakamilika... yaani kuna wanaokamatwa kabla ya upelelezi na kuna ambao hawakamatwi hata baada ya upelelezi... not fair, lkn nani anajali? Tumerelax tu.. nchi yetu ina amani kwasababu nyingi. Mojawapo ni hii, wananchi tuna maisha flan ya kutojali sana vitu. Ninachoona pamoja na tuhuma zote anazopewa Mwigulu bado atachukua form za kugombea Ubunge, atapitishwa na chama chake na atashinda Ubunge tena, na uwaziri atapewa, who cares
 
Mkuu

Katika kipindi chako cha uwaziri,

1. Ni jambo gani liachalo alama ambalo ulilifanya unalikumbuka kama kilele cha kujivunia utendaji wako?
2. Ni jambo gani unadhani ulichemsha kama binadamu na unaamini pengine ungeweza kufanya vizuri zaidi?
3. Ungependa wa Tanzania tuiandike historia na kukukumbuaka kama mtu wa namna gani?

Asante
 
Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.

View attachment 1365715

Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa

NAKUSHAURI 2020-2025 USIGOMBEE WALA USITETEE UBUNGE WAKO, NAKUSHAURI NI MUDA SASA WA WEWE KUPUNZIKA NA KUKAA BENCHI KUACHIA WENGINE WAONGOZE JIMBO LAKO LA UBUNGE...NAWASILISHA KAMA USHAURI TU...HATA KAMA WANANCHI WAKITAKA UENDELEE NAKUSHAURI UPUNZIKE SASA MIAKA 15 SIYO HABA.
 
Back
Top Bottom