khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,224
- 1,548
We jamaa kweli kiazi 🫵🏽 achana nae fanya maisha yakoHujanielewa mkuu, simuonei wivu na kazi zangu vizuri tu, yeye huja kwangu kunisalimia watu humuona na wanajua ni mshikaji wangu Sasa lazima nimpeleleze mkuu, ili kujihami mapema, hapo shida nini?
Unamanisha akija kwangu nimfukuze auWe jamaa kweli kiazi 🫵🏽 achana nae fanya maisha yako
Kaka we ni genious umenielewesha, hawa wengine wao nikutukana tuMitandao Inalipa sana ndugu zangu, mimi binafsi kuna dogo namfahamu ni mfanyakazi ofisi ya mshkaji wangu.
Dogo ana kama miaka 2 pale ofisini, hana mshahara, mara nyingi huwa anapewa posho ya buku tano kwa siku, kula juu yake, kulala ndio analala kwa bosi.
Huyu dogo, alipokuja kutoka mkoa nilimpokea mwenyewe hata smartphone alikua hana, ila ni mtundu kuchezea simu, hivyo alivyozoea maeneo ya ofisi, watu walikua wanamletea simu zikiwa na shida ndogo ndogo mfano settings anarekebisha.
Humo humo kurekebisha simu akauziwa ki smart kibovu kwa 45k akaanza kudema dema nacho, akafungua page/akaunti kila mtandao (fb, Instagram, tikitoko, youtube).
Maswali yakawa mengi kwangu, blaza nikitaka youtube wanilipe nifanyaje fanyaje??mara META wamefanya hivi mara vile. kupunguza mambo mengi nikaamua kumu introduce kwa chatgpt nikamwambia ukitaka usaidizi au ukiwa na swali lolote uliza chatgpt itakujibu kwa uhakika zaidi maana mie mengine siyajui(nikawa nimempiga chura teke)
Juzi kati kaja kunionesha dashboard yake ya Facebook wameshamlipa dola 1200+ huku mie born hia hia sijawahi kulipwa kwa dola tangu nizaliwe pamoja na utoto wangu wa mjini.
Dogo hataki hata mshkaji wangu(bosi wake) ajue kama amelipwa madola kwenye mtandao, na mshkaji kila akija ofisini yeye ni kumlalamikia dogo "yaani kila siku upo bize na simu kuangalia upuuzi, huingizi chochote unapoteza bando la buuure badala ya kuwatumia wazazi wako"
Laiti kama mshkaji angejua dogo ameshaanza kukunja vi milioni milioni aseee nahisi angemfukuza hata kazi kwa wivu, sema ndio hivyo dogo kapiga kimya na mie nimepiga kimya sababu hayanihusu
Usidandie treni kwa mbele ukiwa uchi umeinana, nmesema ni mgeni mwisho nikamalizia historia yake naijua case sio LAKI sabini KESI historia yake naijua, alafu mpaka sasa hujalala unafanya nini wewe, SI kibaka weweKodi 170k unaona jamaa ana hela nyingi mpaka unaanzisha uzi jf? Hii nchi ina umaskini mkubwa sana
Bella wangu 😅Kuna jamaa huwa anaandika Mungu amsaidie kunyamaza!
Kwahiyo kulipa Kodi 170K ni expensive life ?Haiwezekani kuishi Maisha ghali Kwa kuuza bundles pekee.hata customer base iwe kubwa vipi.pale huwa wanaambulia elfu tatu,mbili au elfu nne.ni kazi sio rahisi pia kupata mteja Kwa maana ya kutoaminiana haswa hawa mtandaoni.inaweza kumsaidia kupata mahitaji ya msingi lakini kuishi expensive life haiwezi.
Mi nna rafiki ni analala tu ndani hata siku tatu hatoki nje.namuuliza we vipi jobless kama mie😊
Ananiambia mie winga naungaunga tu Maisha yanaenda.kuna muda napata oda mambo yanakuwa mazuri,Kuna muda upepo unakuwa mbaya lakini Kwa mwezi sikosi laki mbili napata Kodi na ya kula.kuna muda Hadi Hela ya umeme anakopa Kwa wengine atarudisha akipata.
Mwanzoni sikutilia maanani but naona ni reasonable.na kazi zake naziona
Sio vema kufatiliana Maisha,but kufahamiana ni muhimu.uko sahihi
Ila kama una mashaka nae kwamba anaweza kuwa na mishe Haram zikakcost sababu ya ukaribu nae keep your distance.kaa mbali nae.
Mjini Kuna mengi ya Siri hutoyajua yote.
Na kufatilia in deep utajikuta unaitwa mmbeya na sio sifa nzuri
"huyo muarabu ana ghorofa Kodi tu self laki moja na sabini per month"Kwahiyo kulipa Kodi 170K ni expensive life ?
Uki-break down 170K kwa siku ni sh.ngapi
Ni sawa na 5500
Ur too kid in this life
Ikiwa unaamini kulipa rent 170K na kuendesha maisha ya Kila siku ni expensive life.
Itakuwa rate ya umasikini imekuwa kubwa sana Tanzania
Yaani ili MTU alipe rent 170K anabidi kufanya illegal stuffs
Nigger
"huyo muarabu ana ghorofa Kodi tu self laki moja na sabini per month"
Anyway mie ni mawazo yangu tu,mapovu peleka kulee!
Hapo mleta mada ni kama anashangaa,huyo jamaa yake anawezaje kulipa kodi kubwa kiasi hicho?"huyo muarabu ana ghorofa Kodi tu self laki moja na sabini per month"
Ni kweli kabisa.kuchimba maisha ya watu in deep sio vizuri,hata mie sitapendaHapo mleta mada ni kama anashangaa,huyo jamaa yake anawezaje kulipa kodi kubwa kiasi hicho?
Nilimpa ushauri mwanzoni kabisa mwa uzi huu kua aache kufuatilia maisha ya watu,
Akajifanya kichwa ngumu,wachangiaji wengi wamemshangaa kufuatilia life la wengine,
Maisha hayapo hivyo,hata wewe huwezi kupenda mtu afuatilie maisha yako.
Sijasema 170k ni expensive life nimesema huwezi kufanya mishe ndogo mfano ya kuingiza 3000 pekee ukaishi expensive life.labda uwe na hustle nyingine zinzochangia kipato chako.We ni MTU mjinga Kodi ya 170K ni expensive life ?
We una akili mkuu, hawa wengine wao kutukana tu ka mazezetaHaiwezekani kuishi Maisha ghali Kwa kuuza bundles pekee.hata customer base iwe kubwa vipi.pale huwa wanaambulia elfu tatu,mbili au elfu nne.ni kazi sio rahisi pia kupata mteja Kwa maana ya kutoaminiana haswa hawa mtandaoni.inaweza kumsaidia kupata mahitaji ya msingi lakini kuishi expensive life haiwezi.
Mi nna rafiki ni analala tu ndani hata siku tatu hatoki nje.namuuliza we vipi jobless kama mie😊
Ananiambia mie winga naungaunga tu Maisha yanaenda.kuna muda napata oda mambo yanakuwa mazuri,Kuna muda upepo unakuwa mbaya lakini Kwa mwezi sikosi laki mbili napata Kodi na ya kula.kuna muda Hadi Hela ya umeme anakopa Kwa wengine atarudisha akipata.
Mwanzoni sikutilia maanani but naona ni reasonable.na kazi zake naziona
Sio vema kufatiliana Maisha,but kufahamiana ni muhimu.uko sahihi
Ila kama una mashaka nae kwamba anaweza kuwa na mishe Haram zikakcost sababu ya ukaribu nae keep your distance.kaa mbali nae.
Mjini Kuna mengi ya Siri hutoyajua yote.
Na kufatilia in deep utajikuta unaitwa mmbeya na sio sifa nzuri