Anadai anaunga watu mabando, mb ndo chanzo cha pesa nyingi alizonazo nina mashaka

Nimeshangaa badala wani eleweshe wanani tolewa povu
 
Ohoooooooo atasaaaaaaa
 
We ni MTU mjinga Kodi ya 170K ni expensive life ?
Nisikilize kubwa jinga nisikilize, hiyo laki na sabini ni kubwa inategemea mahala, mfano Kuna mikoa hiyo Kodi unakodisha nyumba nzima unasemaje SI expensive life kama mtu anakodi sehemu kubwa kwa uwezo wake? Hata bakresa akienda kwa Elon musk anaonekana fukara tu
 
Hata akiiingiza milioni kwa siku hawezi nitetemesha, hata yeye anafahamu kwamba nauliza kwa watu ili nijue na nimemfahamisha kuwa tauliza kwa watu wewe unapoyoka tu
Ikiwa una ukaribu naye kiasi hicho kwanini usiende huko anapo waunganishia bundle wateja wake. Umwambie awaunge uone anafanyeje anaingiza pesa kiasi gani kwa siku ujiridhishe?
Kweli wewe ni kama kaka kwake?Mbona upo slow kujiongeza kama wakubwa wafanyavyo?
 
Humu Kuna watu wana taaluma mnalimbali tuna maagent humu wa mitandao nikaona nianzie kwenu nijiridhishe, lakini badala ya kupewa ilimu natukanwa as if naongea na wahuni wa tandale
 
hata mimi ukiniuliza nafanya shuhuli gani nitakwambia ni dalali wa uyoga pia na kampuni ya kuvuna mwanga wa mbwalamwezi na kuuza jumla na rejareja
Teh mkuu umenikumbusha, kuna mubaba flan alikuwa anataka kaharage, ana pesa vibaya mno, anatembea na milioni 50 kwenye gari za kula bata mjini hapa, uzalendo ukanishinda, nikamuuliza hivi we unafanya kazi gani hapa mjini, maana toka asubuhi we kila siku ni bata tu, akaniambia anauza kashata feri🤣🤣🤣....huyu ndo alinifundisha ku mind my own business
 
Na kaharage kako ukampatia akakafokoa au sio?
 
Mkuu samahan, ila mwamba aliichapa mbususu yako?
 
Nje ya mada.
Vipi kaharage alipewa? 😄
 
Wabongo wengi tunapenda kufatilia maisha ya watu. Tunaamini ili mtu aishi maisha mazuri lazima atoke kufanya kazi kila siku. Hayo maisha yalisha isha huku 2000s
 
Yaan we unatishia watu matusi humu , hujui hapa ndo kiwanda kinachochakata matusi? Kuna watu wamepinda humu, utatukanwa hadi ukimbie uzi wako!
Usiji changanye dada angu usije nichukia Bure mi huwa na matusi mabaya,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…