Akili ya kimahaba haijawai kukua kwa mwanamke! Unaeza nijengea na nisione km kuna jambo umenifanyia, ila kitendo cha kuninunulia pichu nitakuwek moyoni adi kwene utumbo mwembamba adi naingia kaburini
Majukumu yote ya ndani anayafanya hata kunyoa watoto wa kiume nywele J’mosi ni jukumu lake. Ananunua chakula, umeme, ada za shule, nguo za watoto.
Kusuka nywele zangu amesema ni jukumu langu na pia kupendeza. Hataki nimuaibishe tukipata mialiko niwe nadhifu. Haulizi mshahara wangu ni kiasi gani wala haombi pesa yangu.
nimfundishe vipi kutunza mke?
Siku zote kwenye ndoa mwanamke hapewagi hela ya kusuka na shopping, ila ivyo vitu nilivyo vitaja wanawake wengi wanavipata ndani ya hela ya matumiz ya kila siku, mfano mume wako hanakugaiya hela ya matumiz ya mwezi mzima mfano chakula, bill ya umeme maji, nguo za watoto, mkaa, kwaiyo nawewe unatakiwa uingize mambo yako ndani ya bajeti ya mwez mzima, husisubili mume hakupe hela ya kusuka, kunua viatu, lotion, nguo, Ningumu sana mume kukumbuka kila baada ya Siku tatu unatakiwa husuke nywele.Mimi ni mke wa mtu ninahitaji kuhudumiwa
🙏🏾Siku zote kwenye ndoa mwanamke hapewagi hela ya kusuka na shopping, ila ivyo vitu nilivyo vitaja wanawake wengi wanavipata ndani ya hela ya matumiz ya kila siku, mfano mume wako hanakugaiya hela ya matumiz ya mwezi mzima mfano chakula, bill ya umeme maji, nguo za watoto, mkaa, kwaiyo nawewe unatakiwa uingize mambo yako ndani ya bajeti ya mwez mzima, husisubili mume hakupe hela ya kusuka, kunua viatu, lotion, nguo, Ningumu sana mume kukumbuka kila baada ya Siku tatu unatakiwa husuke nywele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Majukumu yote ya ndani anayafanya hata kunyoa watoto wa kiume nywele J’mosi ni jukumu lake. Ananunua chakula, umeme, ada za shule, nguo za watoto.
Kusuka nywele zangu amesema ni jukumu langu na pia kupendeza. Hataki nimuaibishe tukipata mialiko niwe nadhifu. Haulizi mshahara wangu ni kiasi gani wala haombi pesa yangu.
nimfundishe vipi kutunza mke?
Kwani majukumu yoteMajukumu yote ya ndani anayafanya hata kunyoa watoto wa kiume nywele J’mosi ni jukumu lake. Ananunua chakula, umeme, ada za shule, nguo za watoto.
Kusuka nywele zangu amesema ni jukumu langu na pia kupendeza. Hataki nimuaibishe tukipata mialiko niwe nadhifu. Haulizi mshahara wangu ni kiasi gani wala haombi pesa yangu.
nimfundishe vipi kutunza mke?
Anafanya mwenyewe ananunua nyama mpaka ndimu na pilipiliKwani majukumu yote
huliyo sema anayafanya, je anayafanya kwa mfumo upi? je kwakukupa pesa wewe mkoni au kwa kufanya yeye kama yeye bila kukupa hela ukafanye wewe malipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
You have made my day, seriously. Hata kama utachangia 50,000 Tsh. kati ya 1,000,000Tsh. aliyotoa baba, ataithamini sana kwani unamoyo wa kumsaidia mwenzako ila uwezo wako ndo unaishia hapo.Na wakati mwingine mwanaume anatamani kuona mchango wa mkewe kwenye maendeleo ya familia kwa wale wenye kipato
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe mchango wako kwenye familia ni nini?
Maana unatumia muda wa familia kwenda kazini na hautoi mchango wowote kwa muda wa familia unaotumia kukaa kazini.
Nikiwa na mke kama wewe nitakushauri ukae nyumbani ili watoto wetu wapate malezi mazuri maana hatuwezi kusacrifice malezi mazuri kwa watoto wetu kwa wewe kwenda kushinda kazini ukiwaacha watoto na dada wa kazi na familia hainufaiki chochote na kazi yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie huyo mwanamke aache ubinafsi.nimfundishe vipi kutunza mke?
Wanawake mnataka haki raha ila hamtaki majukumu sawa.. Shame on you women