Anafanya majukumu yote ya ndani lakini si pesa ya urembo wangu

Sky Eclat,


Kwa mtazamo wangu, unajiaibisha sana kama mshahara wako tu unauonea wivu kujirembea. Ni aibu mbaya sana kushindwa kumkubali mumeo kwa majukumu anayofanya na bado unadai minor things.

Ila wanawake Mungu anawaona!!
 
Ongeza kiuno na utundu kitandani atatoa tu😅
 
Yaani majukumu yote anafanya,watoto wanatunzwa vyema chakula na huduma zinginezo zinatimizwa vyema na bado unataka akuhudumie! Jifunze kuwa na shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni huyo tu asijielewa,wapo wanawake kwenye ndoa wanachangia maendeleo katika familia zao.Baba anachukua mkopo,mama anachukua mkopo wanajenga na kufanya mambo mengine.Baba analipa ada za watoto mama ananunua mahitaji mengine na they are happy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You should be thankful for him being such a good husband na baba bora kea wanao, ikiwezekana wakati mwingine na wewe fanya baadhi ya majukumu kumsaidia ili kuprove kwamba yoyare a useful wife

Ukionyesha ushirikiano kwenye mahitaji mblimbali basi na yeye ataonyesha ushirikiano kwenye swala zima la urembo wako

Sijui huwa tunakwama wapi wamama yani mume anafany vyote hivyo bado unataka na hela ya saluni akupatie, utamuua kwa presha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nakuona una busara san ila leo nimejikuta nakuwaza mara mbili mbili, kwa hiyo mke wa mtu yeye hela yak haibebi majukumu ndani ya familia

Maana ya kuwa mke ni kuweza kuihudumia familia vilevile sio ili uhudumiwe
Michepuko ndio wanaohitaji kuhudumiwa maana hawana mapenzi wanachotaka ni hela

Sasa you are a wife unataka umwachie mume kila kitu, mtaendelea lini jamani
Mimi ni mke wa mtu ninahitaji kuhudumiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko kama mimi, huwa sichagui jukumu la kufanya, kama ada inadaiwa ntalipa, chakula ntanunua, mahitaji ya watoto, and he does tge same

Imagine mtu hafanyi chochote ndani ya nyumba, sijawahi ona mwanamke wa hivo na bado analaalmika
Wanawake wengine kichefuche yaani huulizwi kwa lolote na bado unashindwa kujirembesha kwa hela yako aise mie siwezi nahudumia nyumba bila kuona uchungu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhudumiwa kuhudumiwa, kauli hii inawadhalilisha sana wanawake hawajui tu. Mtu akishakuhudumia ndio anakumiliki na kukufanya apendavyo, hii ni kauli iliyopitwa na wakati sana
 
Ndo hivyo,mwanamke anafanyakazi na anapata mshahara kila mwezi lakini hata chumvi ikiisha anamsubiri mme.

Sent using Jamii Forums mobile app
Au mafuta ya gari ya kuendea kazini na hela za matumizi akiwa kazini unatakiwa utoe mwanaume. WANAUME TUMEUMBWA MATESOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…