Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Hiyo hela nikiipata si namalizia kibanda naweka na full furniture...

Bado natafakari
Unapowaza kumaliza kibada, ukumbuke kuwa mtoto utakaye mnyonyesha baada ya mwaka moja unatakiwa umkabidhi baba aliyekuwa anakutunza sina uhakika ndiye mwenye Mbegu, halafu huruhusiwi kabisa kuja kumwona mtoto....maana yake ameshatolewa kafara mahali...
 

Ni zaidi ya unyama
Ila wapo wanawake watajilipua ( kama kweli ni kweli maana ukute mnajipinda kuandikaaaa kwa issue ya kutunga tu).
 
Kafara ndo Nini mbona mnatoa Mimba kila siku je ? Hiyo siyo kafara?
 
Watu hawazi hyo bond ilivyo ngumu kuivunja ya kunyomyesha mwaka, labda wengine naona mtoto akizaliwa hapewi hata yule mwanamke amuone lkn ulee mwaka une umtoe sio kazi rahis
 
Asante kwa ushirikiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…