Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Hivi na akili zako ukafanye ivf ya kumbebea mtu mimba ...I mean kuleta kiumbe duniani (with all the risks) na ukikabidhi kwa hela ya bata la mwezi mmoja?
Hata Kwa billions noooooo Kwa Mimi,mtoto ni mtoto dear
 
Hahahaha
 
Kuna mtu anapigwa hapa soon
 
Kwenye tangazo nimeeleza kwamba makubaliano yatasainiwa mahakamani na ustawi wa jamii ili kuepusha mtazamo wa aina hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…