Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Hiyo mahari ya kuropoka. Unakuta mzee wa huyo binti ana ushamba mwingi. Wazee kama hao unamfuata na laki tano akiikataa, mnarudi mara ya pili na laki tano na nusu, alichomoa mnakuja na laki sita. Akikataa unamtia mimba binti maisha yaendelee.ndo kwa mahar ya 5M jaman duu
Sasa kama anajua kuna kitu kinaitwa muda atajifunza kwa gharama kuwa ni lazima amuache binti yake aendelee na maisha yake.