Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

ndo kwa mahar ya 5M jaman duu
Hiyo mahari ya kuropoka. Unakuta mzee wa huyo binti ana ushamba mwingi. Wazee kama hao unamfuata na laki tano akiikataa, mnarudi mara ya pili na laki tano na nusu, alichomoa mnakuja na laki sita. Akikataa unamtia mimba binti maisha yaendelee.

Sasa kama anajua kuna kitu kinaitwa muda atajifunza kwa gharama kuwa ni lazima amuache binti yake aendelee na maisha yake.
 
Wewe pimbi kama huna Hela achana na watoto wakishua katafute utakawo walipia laki mbili
Aliekwambia wa kishua wanalipiwa mahali kubwa nani?? Dogo mbona huna akili aisee.

Mahali wanapanga wazazi/mtoto waala sio kulingana na kipato chao bali kila mahali kulingana na mila zake. Ndio maana nikakwambia inabidi ujue maana ya mahali kwanza sio kupayuka tu.
 
Mahari ni haki ya mwanamke maan yeye ndo anaolewa anatakiwa ataje kias anachotaka kutok kw mumewe akisem 500

ila mimi binafs sitataka mahar wala kutaja mahar hiyo nawaachia wenyew wapendanao wajikadirie na walipane
Hizo pia ni mila za kiarabu. Mila za kiafrika especially kibantu ni wazazi ndio wanasema vitu wanataka kama tendo la kuomba ridhaa yao na huwa kawaida wanatazama na uwezo wa familia ya kijana.
 
Hizi zote ni tamaduni. Kwa upande wa wazungu huwa hakuna mahari, ila engagement ring ina formular yake ambayo inategemea na kipato cha binti.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiangalia vizuri ni kwamba mifumo ya haya mambo imekaa kumuumiza muoaji tu

Sio kumuumiza muoaji, huo ndio uanaume
Mtakula kwa jasho, sio Kula ugali tuu Hata hayo mengineπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Kwa hiyo umeona milioni 6 ni pesa nyingi eeehπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hebu ipeleke kwenye ng'ombe wa maziwa uone utapata wangapiπŸ™„
 
Wewe milioni 6 hio si akafungue ofisi mahali,unatoa pesa yote hio mwanamke sio bikira na ni aibu,halafu ndio hawa hawa unabambikiwa mtoto

Umeona milioni 6 pesa nyingi sana ehπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Pole mwaya
 

Niandike ili nionekane halafu iwejeπŸ™„πŸ™„πŸ™„ kuna malipo ya kuandika hapa

Mtoa maada aache kumsemea maneno machafu binti wa watu na kulialia atafute pesa. Huko kukosa bikra anakosemea ndio kakumbuka baada ya kuambiwa gharama za mahari!!!?
Selfish
 
Wewe kama mwanamke utapokea mahari ili iweje au ufanye nini nayo, ila kama umetokea familia maskini mahari kwako ni mtaji vinginevyo jikomboe kiuchumu mambo madogo kama haya utayaacha

Mahari sio mtaji
Mahari ni shukrani ya heshma
 
Hizi zote ni tamaduni. Kwa upande wa wazungu huwa hakuna mahari, ila engagement ring ina formular yake ambayo inategemea na kipato cha binti.

Ndio maana sisi sio wazungu
Na ndio maana wazungu wanaotuoa wanaulizia taratibu na wanalipa mahari
 
Hizi ndoa za mahari kubwa na sherehe kubwa mara nyingi m majanga,


I still thank my wife, maana alipambana kwao mpaka mahari ikawa 500,000.

Mwambie mke what you can afford, ni kazi yake na familia yake kumsupport kumake sure ndo inakuwa smooth kabisa.
 
wewe tafuta hilo hela bn,acha hojaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Nenda kwao kwanza wazazi wakuone halafu mpige mimba watashusha bei. Ila mkakati wako wa ndoa ni wa kibabe sijui vijana wa siku hizi hamfundishwi maana ya kuwa mwanaume
 
Ni akili za kipuuzi sana. Sisi tunaamini mtu anasomeshwa apate ufahamu mkubwa. Hawa wazazi wanaotaka waje kulipwa ndo kuendeleza mawazo ya kimaskini. Kusomesha ni wajibu wa mzazi. Na asitegemee aje kulipwa. Elimu ni ya mtoto wake si yangu. Why nije kuilipia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…