Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Wewe kama mwanamke utapokea mahari ili iweje au ufanye nini nayo, ila kama umetokea familia maskini mahari kwako ni mtaji vinginevyo jikomboe kiuchumu mambo madogo kama haya utayaacha
Hawa wanawake na familia zao huwa wanakuwa na njaa sana. Wanataka jikomboa kupitia mahari.
 
Watu wamekukula bure uje uniuzie mimi. No way. Nakataa. Aende huko. Na sinunui binadamu mimi.
 
Kesi ndogo tu iyo mimi nimempa nusu ya mahari mchumba wangu coz anilisomesha tokea nipo form 4 advance Hadi nimemaliza chuo.akikupenda atakusaidia mahari na huku kwetu mahari iko bei Ivo Ivo
 
Wazazi wengi ckuiz wamekuwa wa hovyo kupitiliza.Usikute huyo mzee anayekubania hata mkewe( mama Yake na mchumba wako) hakumtolea hiyo milioni 6 anayolazimisha kwa binti Yake.

Mi nakushauri piga chini huyo demu tafuta chuma kingine mbona wanawake wapo wengi tu.
 

Wewe huyo mwanamke humpendi usituchoshe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mahari ni kubwa ni kweli,

Ila wakati mwingine ukubwa wa mahari unatokana na kipato chako

Huenda wanakupiga mahari kubwa kwasababu wanajua unaweza kuilipa.

Kama unaweza kuilipa na ipo kwenye uwezo basi lipa tu usijali.

Kama kipato chako ni cha wastani sikushauri ulipe mahari kubwa kiasi hicho,

Mahari haina kipimo ni makubaliano kati ya mke na mume watarajiwa, kaeni chini na mchumba wako mkubaliane wala usimdhalilishe mitandaoni, sio busara.

Naamini mkikaa moiyazungumza mtawekana sawa, tafuta wazee wazuri wanajua sana ku bargain hadi itafika 1.5M

Leo kutokana na ukubwa wa mahari imepelekea wanaume wengi kuishia kunyanduana tu af hakuna kuoana

Wazee wenye watoto wafanye urahisi wa mahari ili watoto wao wakike wasizeekee nyumbani au wasiwe single mothers

Usikubali mtego mwingine wa kuweka sherehe yenye gharama kuuubwa kuna maisha baada ya ndoa, ni bora m save kiasi fulani kiwasaidie wote mkiwa kwenye ndoa na sio kuingia kwwnye ndoa na madeni mkaanza kuyalipa badala ya kufanya maendeleo.
 
Jamani chuma chakavu icho.kama sio BIKRA hata mm sitoi pesa ndefu kama iyo. Kwa ss wazee sugu nikitoa sana ni laki 7 tu.
 
As a woman namuonea huruma huyo dada. Mahari kweli ni kubwa ila kuwa na mwanaume anakwambia kabisa nenda wakuoe sijui sitoi mahari aisee mimi nisingegeuka.

Ila mtoa mada, ni kwamba hutaki kabisa kutoa mahari hata ingekuwa laki? Umetisha [emoji23]
Hello.

Greeting from this side.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa. Kaolewe wewe na hiyo mahari. Mimi sioi kwa hiyo kitu.
ma.vi yako.. kuoa inahitaji uwe mwanaume uliyekamilika kiakili, hekima na uchumi. ...umekurupukia jambo lililo juu ya uwezo wa akili yako.....jihangaikie machangudoa tu, ndiyo size yako. Kuoa si size yako.

Hata huyo unayehangaika naye ni changu tu. Binti anayejitambua asiye changudoa hawezi kukubali kukaa unyumba na mbwa kama wewe
 
Una akili za kushikiwa.
 
Umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…