Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Thamani ya binadamu haipimwi kwa mahari pia. So mahari isiwe kigezo cha watu kuoana. Kwani ikiwa juu sana ndo anakuwa na thamani sana?
Nafikiri ingekua busara kutuma wazee kwenda kuzungumza na mzazi wake kuliko kukaa kubishana na binti, kwanza inaonyesha mtu hayuko matured enough, unabishana vipi na binti kuhusu mahali while unatakiwa kutuma wazee wakazungumze kwao??? S
 
Mkasome mpate kipato msijiuze au kuuza watoto wenu. Mnataka usawa huku mnataka kujiuza tena. Mtaolewa familia nzima sasa.
 
Nafikiri ingekua busara kutuma wazee kwenda kuzungumza na mzazi wake kuliko kukaa kubishana na binti, kwanza inaonyesha mtu hayuko matured enough, unabishana vipi na binti kuhusu mahali while unatakiwa kutuma wazee wakazungumze kwao??? S
Ukiwa na akili huwezi dharau anachokwambia muolewa ambaye ndo ameishi na wazazi wake siku zote na wamemwambia kuwa hawamwozi bila kiasi flani.
 
Wapi pameandikwa mahari inalipwa kwa bikra pekee!?
Halafu kama ndivyo kwanini usiwatafute hao mabikra?
Siyo Bikra watu wamekula bure leo ukalipiwe mahari kwa mtu ambaye kaamua kukusitiri. Mahari ilikuwa inalipwa at least kwa mwanamke bikra kama asante kajitunza. Leo hii mnaolewa mna mabwawa ya kufugia samaki mnataka tena mlipwe? Mtu anunue kitu mtumba very used. Hakuna kununua kitu used.
 
Mkasome mpate kipato msijiuze au kuuza watoto wenu. Mnataka usawa huku mnataka kujiuza tena. Mtaolewa familia nzima sasa.

Kusoma tumesoma kipato tunacho na usawa hatuutambui kwenye issue ya mahari. Usawa ni kwenye elimu, ajira, kumiliki Mali ndani ya jamii ila usituletee usawa wa kutaka tukulipie mahari. Hivihivi ndio wanaume wanageukaga🙄

Wewe milioni 6 kwa maisha yako yote umeongea karibu uzimie, utaweza kununua diapers na maziwa ya watoto kweli🙌🙌
 

Acha kulalama. Nenda katafute bikra tuone hata kama una hiyo milioni6🙄🙄🙄
Eti mabwawa ya kufugia samaki😏😏 sasa mbona yanataka kukutoa roho!?

Umegundua ni bwawa baada kuambiwa ulipe mahari😆😆😆😆

Maneno ya mkosaji heheheiiiiyaaaa
 
Kwan kasema Hana mil 6? Shida ni mtu anae mlipia,
Wanawake wap*mbv mnasapotiana ujinga , huyo bint kamtafutie ndugu yako aje amuoe
 
Kwangu mimi.

Maximum amount kwa ajili ya mahari ni Tsh 700,000/=

Hautaki sepa...

Wapo wale wa mahari kitanda/ kabati au Tsh 250,000/= na wengine wanakwambia toa chochote ulicho jaaliwa na kama hauna unabeba mke kwa mkopo bila riba.

Tena unapata mke mzuri wa umbo hadi tabia

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwan kasema Hana mil 6? Shida ni mtu anae mlipia,
Wanawake wap*mbv mnasapotiana ujinga , huyo bint kamtafutie ndugu yako aje amuoe

Kwani wa kumlipia milioni6 si kamchagua mwenyewe!!!?? Sasa lawama za nini

Nilisema wavulana wana shida mnielewe. Wanaume huwa hawaliilii
 
Mahali siyo lazima,na pia haina ulazima kuwa kubwa,muda wa kung'ang'ania mahali kubwa kuwa bdo kipimo cha ubora wa mwanamke kimepitwa na wakati waambie wazee wenu mapema,vijana wa sasa hivi hawaheshimu kiwango cha mahali,ndo ni maisha ya watu wawili kwa usawa nasi mmoja kununuliwa kama bidhaa!!
 
Wewe una kajeuri flani hivi mkuu, usipokua makini hutaowa wala kuishi na mke yeyote, ulipaswa kuliongelea kifamilia na sio kumwanika humu,, je! Unajuaje kama si member wa jamiiforum huyo binti!!! Aleyommba gekke mami kuwa makini!
Kwani kutokuoa ni kosa?? Wanawake wanaohitaji ndoa wengi sana duniani wapo radhi hata bila mahali mradi avae pete tu,usimtishe mtu kutokuoa[emoji1787][emoji1787]
 
Wewe ni mwanaume mshenzi na umebahatika kupewa nyoko tu , huna akili unamabox kichwani .

Watu wenye akili timamu watatoa mahari ila changudoa wa kiume mshenzi kama wewe utakula wake za watu uchomwe moto
 
Dah kula kukicha mtu unajikuta unataka kuelimisha zaidi juu ya tabia za kibinaadamu. Hivi ndugu kwani kwa ufahamu wako mahari ni kitu gani? Yaani mahari hutolewa kwa sababu gani? Kwani kuna mashart gani juu ya kutowa mahari? Naona kama kwa mtazamo wako ni kuwa mahari hutolewa kwa mabikira tu, au nimekusoma sivyo? Naona kuwa mil 6 sio issue issue ni kwa nini ni mil 6.

Jengine nimeshangazwa kwa kuwea kusema kuwa umemkuta ameshachakatwa sana, hivi ulijuaje kama amechakatwa sana? Mbali ya kuwa umemkuta sio bikira kuna ushahidi mwengine wa kuthibitisha unachosema? Kupoteza bikira tu inawezekana kuwa alitembea na mtu mmoja tu kabla yako, unless kama alikwambia idadi halisi ya watu aliotembea nao nashindwa kuamini kuwa unajua kuwa ameshachakatwa sana.

Pia ninaona kwa kusoma maelezo yako ni kuwa moyo wako hauko serious katika kuingia katika ndoa na huyo binti na unatumia sababu ya ubikira kuepuka kufunga ndoa nae. Kwa sababu kumbuka hata wewe mwenyewe si mgeni katika kuchakatua hao hao wanawake ambao wenzako watakwenda kuwaoa.

Nadhani kama uko serious kumuoa huyo binti basi itabidi tu ukubali kulipa mahari kwao, kiasi gani hiyo ni issue nyengine, lakini usihusishe ubikira! All the best.
 
Ungesoma ungejitambua kuwa mahari ni biashara ambayo watu wanafanya kuuza wanawake au watoto wao. Kwa mwenye elimu atauliza why mtoto wa kike atolewe mahari. Ili iweje? Mnataka mfumo dume uondoke ila mnataka matokeo yake mfaidike nayo. Mkiendelea hivi mtajikuta hadi wazazi wenu wanaolewa.
 
Sasa wewe akili huna, bikra walitoa watu bure, uelewa mdogo. Then mtu mwenye akili timamu anaanze kukulipia mahari? Lazima ahoji analipia nini ulicho nacho. Maana huna cha kulipiwa. Unauza nini hapo cha kulipiwa?
 
Watu wana negotiate mahari siku hizi kama vile bei za simu, kanegotiate ndugu huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…