Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kachizika huyu hana akili kabisa
 
Wanawake mmeamua kuandamana kwenye huu Uzi[emoji1][emoji1]
 
Ila tuache masihara mtoto mahali yake 6m na kuendelea, kijana anshindwa kutoa hiyo mahali anasepa zake lakini bintiyo akija mtaahani wahuni wanaizagumua tu tena wengine hujifanya wife materials hawataki kitu zaidi ya ndoa lakini mchongo unakuja kukwamishwa na mahali na tayari kashatumika sana.Wengine wanapewa elfu ishirini tu anaachia mali.

Alafu Bado tu mnaendelea kusema mahali si chini ya million sita... ,Anaendelea tu kubaki hapo hapo mara kapata mtoto baba aeleweki na bado wanaendlea kutumika tu mpaka wanapotaka kuolewa Kwa mahali ya milioni moja jua la jion hili hapa mashavu ya kotekote yameshuka kama puto lililoishiwa upepo Sasa hapo kunafaida wakuu

Yani Bora Binti asiweantumika huku mkingoja mwenye milioni6 atokee
 
Hapo ndo Mimi ninapo onawanawake wanakosea wakitongozwa wanaachia mali alafu mahali wanang'ang'ania kiwango ambacho muoaji hawezi
 
Acha uoga nenda kawasikilize watakwambia mahari kiasi gani negotiation si inaruhusiwa jamani[emoji849]Halafu kutoa mahari n lazima sio ombi .
Ila inakata hamasa yani watu wanakaa ilikubageni jambo ambalo litafanya kuibuka hali ya undugu na bado mtakuwa mkisaidiana Kwa mambo mengi mbalimbali

Mzazi na mtoto kama mmelizia swala la ndoa tajeni kiasi Cha mahali Cha kawaida kulingana na hali ya vijana wakitanzania
 
usitufokeee waoaji ni sisi watoa mahali ni sisi tushasema hatutoi mahari kubwa bora nikanunue IST itanifariji kuliko kununua redio ndani kila wakat mikelele tuuh
Na hiyo IST mkuu itakufanya utafune matunda yaliyo njiani kimasihara kabisa yani, ambayo mengine ni milioni tatu nne,tano,sita huko
 
Dalali hilo .ukiona mwanamke ndo ana jipigia debe mahali yake jua ni bogus tu
 
Unamgaslight jamaaa tu.. We huwa unakubaliana na kila unachoambiwa?

Kwanza mm naamini Mahari kama hizo ni human trafficking. Hata watumwa walikua hawauzwi bei hio.

Unalipa mahari yote hiyo alafu mtu akiingia ndani achague nn cha kufanya mara anune mara nn.

Uanaume sio kuvumilia ujinga na kukubali anything tu. Mwanaume ni yule anaejipenda na kuchagua kile anaona ni sahihi kwake. Shida enu mnajionaga mayai sana.

Nowdays men wanafata Value.. Value gani unaleta nyumbani kwangu.
 
Nilishampa mimba mara mbili akatoa. Sina wasiwasi. Na nlishamwambia aondoke kama anaona bila mahari hawezi kuishi nami. Hajaondoka.
Mzee bado unakaa na muuaji? Aisee mie mtu atoe mimba ya mwanangu bila idhini yangu nae anaondoka tu on the spot. Silei wauaji mm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…