Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Uhuni na huu ni uuzaji wa binadamu. Kupeana asante tunaweza na sikatai. Suala la matunzo hata mimi nimetunzwa pia. Wanataka kuondoa mfumo dume ila wanachagua yale ambayo wanayataka na wasiyoyataka.
 
Hapo angekuwaa jamaa sasa anasema dada akoo ashatombesha sanaa inabdi amchukue bureeee weee moto ambao ungewashaaa 😀 😀 😀 😀 😀
Mimi nina dada nlishamwambia kwenye kutolewa mahari sitokuwepo ni upuuzi. Kama wamependana wachukuane wakatambulishane home kwa wazee na sisi. Basi waanze maisha. Jamaa washatomber bure miaka yote. Halafu jumba bovu niangushiwe mimi. Nalipia nini sasa?
 
Nitatoa zawadi kwa wazazi na ndugu zake. Zawadi si lazima na haina kiwango. But mahari No. Si yeye yu hata mwingine akija. Akitaka tukubaliane kuishi hataki akatafute mwingine.
Hili swala inabidi turudi nyuma na kuangalia:-
  • Je vitabu vyetu vya dini vinasema nini?
  • Je viongozi wetu wa dini wanasema nini?
Swala la mahali halipaswi kuwa ni mzigo kwa muoaji / muolewaji.
 
Nakupongeza sana kwa msimamo wako..mwanamke asiyebikra mahari yake isizidi 1M.
 
Utii na heshma[emoji23][emoji23][emoji23]
Upendo ni kutoa, toeni mahari[emoji111][emoji111]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiangalia vizuri ni kwamba mifumo ya haya mambo imekaa kumuumiza muoaji tu
 
Wewe una kajeuri flani hivi mkuu, usipokua makini hutaowa wala kuishi na mke yeyote, ulipaswa kuliongelea kifamilia na sio kumwanika humu,, je! Unajuaje kama si member wa jamiiforum huyo binti!!! Aleyommba gekke mami kuwa makini!
Mpaka miaka hii mbona nimeishi bila kuoa na maisha yanaenda tu? Sijawahi sikia mtu kafa sababu hajaoa. Kuoa si lazima sana. Mimi nipo huru naandika popote ili kama naye ni member asome. Siyo siri.
 
Aliyekwambia mahari inalipwa in full ni nani, kwani unalipia gari au ng'ombe?

Kwanza unajipa majukumu yasiyokuhusu. Wewe kwenu hauna wazazi au wazee wa hekima?

Hiyo ndio kazi yao, wewe waonyeshe huyo binti na waelekeze nyumbani kwa huyo binti wao watajua cha kufanya.

Huyo baba yake hata aseme anataka mahari ya milioni 10 hata yeye anajua huo ni mkwara ambao hauna madhara kwa wazee waliokula chumvi nyingi.

Kama hauna kikosi kazi sema tukusaidie kijana acha uoga kama unataka kuoa mwanaume jiamini. Huyo binti hapo anakupima dhamira yako kama kweli wewe unamuhitaji na upo tayari kuthubutu kwenda kwao mbali na kutajiwa mahari ya bei.

Nenda kwa baba yake na wazee wako yaani washenga sio pekee, umwambie mzee mimi nataka kuishi na binti yako ila kwa ridhaa yako, hii pesa umenitajia ni kubwa ila naamini utapokea kilichopo ndani ya uwezo wangu ili uniruhusu nimchukue binti yako aje kwenye Himaya yangu kihalali.

Yeye baba mtu ataamua kama atoe ridhaa ama la. Akikataa basi waache na upuuzi wao. Akikubali ndio ushapewa ridhaa hiyo uchukue mtoto wa mtu mkaanzishe jifamilia.
 
Fala wewe fanya kazi, tafuta pesa, huyo mwanamke kwa atakayokuja kukufanyia maishani ni zaidi ya mara milioni moja ya hako ka mahali kako.
Tafuta wewe ambaye huna. Na hiyo siyo mahali. Ni Mahari. Simwoi aje kunifanyia kitu. Bwege wewe. Mnaoa ili mkatumikishe wanawake. Mimi najiweza na siwezi kosa mke hata kesho nikitaka kwa vigezo vyangu.
 
Katoa mimba kwa wewe kurudhia au? Kama sio kwann bado upo nae? Na kama ulimshurutisha kutoa kwann bado yupo na wewe?
Nilishampa mimba mara mbili akatoa. Sina wasiwasi. Na nlishamwambia aondoke kama anaona bila mahari hawezi kuishi nami. Hajaondoka.
 
Wavulana bado mna mengi ya kujifunza.

Kazi yenu kuu ni ujuaji na ubishi usio kuwa na mbele wala nyuma.

Yani mtu kama wewe kuwa na mke ni matusi kwa taasisi ya ndoa.

Shenzi kabisa!
Ukiolewa wewe inatosha si lazima nije nami nikuoe.
 
Subiri upate watoto Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…