Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

We mzee,ata
We mzee hata km mahari ni kipimo cha kuweza kuyamudu majukumu ya familia sio umwambie M6,afu hao tayar wanaishi pamoja,wazaz ifike wakati wawe wanaelewa km binti anaolewa na mwanaume
ambae wanaishi wote tena muda mrefu,mahali inabid iwe kidg tu ya kutoa kibali na sio hayo mamilioni
 
Wewe pimbi kama huna Hela achana na watoto wakishua katafute utakawo walipia laki mbili
 
Achana nao hao mkuu, njoo nikupe dada yangu bure kabisa hata zawadi hatutaki maana anakunywa gongo, anakula ugoro, kuberi, anavuta bange, shisha na tumbaku ambayo haija chakatwa na anawatoto wanne mkuu tunakupatia wote bureee....😊
At least yupo real. Kama atanifaa nitamchukua.
 
Wazungu hawatoi Mahari.
Na watu wote waliombele ya muda
Sisi ni waafrika sio wazungu. Kuna kitu kinaitwa tamaduni, ndani yake kuna mila na desturi. Mahari sio kitendo cha kupuuzwa kinabeba ujumbe mzito sana wa kuunganisha familia mbili, kutoa mahari ni tukio la heshima na adabu kwa ukoo wa mwanaume waliokulelea binti yao hadi kawa mkeo leo.

Mahari ingekuwa ni malipo ya kumnunua binti the bei ingekuwa ni juu sana zaidi ya hata bilioni maana utalipia kila dakika iliyotumika na mzazi katika kumlea na kumkuza binti yake.

Anyways, tujifunze maudhui na maana nyuma ya matendo yetu ya kijamii ili tuweze kulinda, kutunza na kuboresha mila na desturi zetu za kiafrika.

Wazungu ni watu tofauti sana na sisi, kuna mambo tunaingiliana ila si yote tena tunatofauti kubwa sana. Kuacha mila na desturi zetu kwa kisingizio cha kistaarabika ni dalili ya udhaifu na ulegelege wa kusimamia jamii yetu. Wanaume tunatakiwa kuwa mstari wa mbele katika kulinda mila na desturi no matter how hard jamii za magharibi itakinzana na kutuingilia.

Sisi ni waafrika na tunaijenga Africa kwa namna yetu. Dont be laid back brother.
 
Kama mimba nimempa mimi ni wangu. Haina discussion. Kama alipewa na kaka yake au baba yake basi watoto watakuwa wao.
 
Upo sahihi, ila madingi ya kigalatia wanakomaa wasikwambie mtu
 
Nashkuru BK niliitoa mimi na mahar 600k

Watu mnapitia makubw 5M na BK hujatoa wew hahah
 
ndo kwa mahar ya 5M jaman duu
 
Wewe milioni 6 hio si akafungue ofisi mahali,unatoa pesa yote hio mwanamke sio bikira na ni aibu,halafu ndio hawa hawa unabambikiwa mtoto
 
Mahari ni haki ya mwanamke maan yeye ndo anaolewa anatakiwa ataje kias anachotaka kutok kw mumewe akisem 500

ila mimi binafs sitataka mahar wala kutaja mahar hiyo nawaachia wenyew wapendanao wajikadirie na walipane
 
Ukweli mchungu mahali ni upumbavu, na ndio maana ukatili hashi kwa sababu mwanaume anapewa madalaka makubwa ya kutoa hiyo mimahali.

Tuige mfano wa mwenzetu wote umezaliwa na wote tumesomeshwa sioni sababu ya kuuziana binadamu
 
Dada acha kuandika uonekane una upeo mpana wa kutazama mambo ile Hali unatetea mashudu tupu!

Mhusika hakukataa mahari anachokipinga ni kiasi anachopangiwa, yaan anapangiwa kiasi hicho Kwa sababu gani?

Kwa mila nlizokulia mimi binafsi mahari hua inakua approximated kistaarabu sana unaweza kuta unatoa dume wawili na kiasi flani Cha fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…