Anaomba ushauri: Akubali kuwa mke wa pili au asubiri atapata mume wake?



Mimi sio muislam lakini siwezi kumshauri msichana kuwa mke wa pili wa mtu. Vilevile nashauri asikimbilie kuolewa haraka ajiendeleze kama ni elimu au biashara kwanza akae vizuri. Mwenye wawili kesho atataka watatu kesho kutwa wanne🤔 kuweni makini kufuata mkumbo.

Usikokuwa makini utakuwa umeachika ukifika 30 na watoto halafu kutafuta mume hapo itakuwa ngumu zaidi. Ni bora uwe 30 single na maisha yanaeleweka🤔
 

Mpe namba yangu 0718354557
 

Kwani wewe ni Mke wa ngapi?
 
Wewe watakusilimisha sasa hivi.
 
Miaka 25 anataka kushare boloyoung. mwambie atulie kwanza.
 
Sasa hujanijibu, kipindi cha mfungo wa Ramadhani inakuwaje? Na wewe unafunga au unakulmimi

Sasa hujanijibu, kipindi cha mfungo wa Ramadhani inakuwaje? Na wewe unafunga au unakula?
Mimi huwa sifungi kula ila naupenda sana uislamu basi tu. Na dada zangu wanakua wamefunga kula ila mzigo wananipea seriously
 
Kwa mshahara huu huu wa Mwamedi enterprises laki tatu kwa mwezi au?
 
Ni zama za wanaume kuringia uanaume wao hali si shwari huku kitaa,, 25 yuko tayari kuolewa mke wa pili!!!!! Asalaleee hebu ngoja nikambebishe wa kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…