Anaomba ushauri: Akubali kuwa mke wa pili au asubiri atapata mume wake?

Andrew Tete yule ni Mwamba aisee... Anatupa madini ya Dunia yule jamaa anafundisha Thamani ya mwanaume binafsi nimevijua vitu vingi sana kupitia kwake kuja kuteswa na mwanamke
Mungu mwenyew anajua
 
Andrew Tete yule ni Mwamba aisee... Anatupa madini ya Dunia yule jamaa anafundisha Thamani ya mwanaume binafsi nimevijua vitu vingi sana kupitia kwake kuja kuteswa na mwanamke
Mungu mwenyew anajua
Yule kwangu ni shujaa. Anafundisha masculinity na ukweli na uhalisia.

Ukimsikiliza , hutokuja kutawaliwa na pia utakuwa na uhusiano bora na ndoa Bora.
 
Cousins waliamini wao wana mionekano mizuri, sasa waliokuwa wanawaona km hawavutii wote tumeshakula ubwabwa, hawaamini macho yao, 28 29 hujawahi kuolewa lazima stress zikutafune tu,,
Hapo wanawake wengi ndo huyumba kujiona Kuwa warembo the end of day wanaishia kuzalishwa na ma Play Boy na kutelekezwa wanabaki single mother,
Ukweli usiopingika mwanamke akisha fikisha miaka 29 kuolewa ni ngumu sana Yani hapo mpka asugue bench, kwa saiv kizazi Cha Miaka 90 kilishatoka kwenye soko kinacho sumbua ni kizazi Cha 2000
Kwaiy hao Cousin wako watulize pressure wamuonbe Mungu haya mamb yanahitaji akili
 
Kwa hali ilivyo tutakuwa watiifu tu, cousins walikuwa hawashikiki kuna mmoja ilifikia hatua km huna iPhone hawezi kusave namba yako, saiv wanatia huruma kinoma nyie nyieee
Ni huzuni. Labda angekuwa ameolewa kama asingekuwa na hayo mambo ila pia simlaumu kwa kuwa ni nature ya mwanamke yeyote kutaka mwanaume bora wanaoitwa Alpha males. Hii kitu ni universal.

Tatizo Alpha males wengi ni playboys, wachache sana wametulia alafu wale nice guys wanaonekana kama wapuuzi, old fashioned na hawana mambo mengi, hawana drama.

Kiufupi anahitaji psychological healing maana kutokuolewa haimaanishi huna thamani, anabidi abadilishe tabia zake na akubali awe chini kidogo.
 
Wanaolewa hao unaoita wazee kwa taarifa tu nikupe

hao cousins bado wanalipa sema ndo hivyo agemate,schoolmate wenzao karibia wote wameolewa wamejikuta wanabaki wao tu ndo hapo sasa wameshtuka kuanza kusaka wachumba,
 
Huyo mmoja amebadilika kiasi flani mwingine ndo bado anajionyesha hana haraka ila kutoka ndani ni ana maumivu makali sana,
 
Yule kwangu ni shujaa. Anafundisha masculinity na ukweli na uhalisia.

Ukimsikiliza , hutokuja kutawaliwa na pia utakuwa na uhusiano bora na ndoa Bora.
TAte anafundisha uanaume halisi.

KUna mambo anayaongea yanasaidia hasa kwa sisi wazazi kuwalea watoto in a masculine way.
 
TAte anafundisha uanaume halisi.

KUna mambo anayaongea yanasaidia hasa kwa sisi wazazi kuwalea watoto in a masculine way.
Na Kwa Dunia ya sasahivi inayounga mkono LGBTQ, Andrew Tate ni WA muhimu sana, ukifatilia Ulaya, mashoga wengi ni nice guys ambao mademu wanawakataaga ila wao wanaowapenda na wanaotamani kuwaoa. Ni wanyenyekevu na wanaonyesha tabia za kike na wanawake hawawezi penda mtu aliye sawa na wao.
 
Wanaolewa hao unaoita wazee kwa taarifa tu nikupe

hao cousins bado wanalipa sema ndo hivyo agemate,schoolmate wenzao karibia wote wameolewa wamejikuta wanabaki wao tu ndo hapo sasa wameshtuka kuanza kusaka wachumba,
Sikuzote mwanamke akiwa mtiifu na mwenye maadili hata akiwa 29-31 years wanaolewa, hilo nimeliona, wenye viburi ndo huwa hawalambi kitu.
 
Ahaha shida sana,tuendelee kuna nondo kwa akina andrew tate,jordan peterson na wadau wengine wanaofundisha uanaume halisi
 
Utofauti ni mdogo sana wanaume 49% wanawake 51%kimahesabu tunasema almost tuko sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…