Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Naunga mkono hoja, kuna wanawake ni shenzi type kabisa.Hivi ni mm na ushamba wangu au mwanamke akiolewa anatakiwa achunge anachopost hasa kinachohusu wanaume wengine ambao si ndugu zake!
Unakuta mke wa mtu anapost kabisa eti "leo nna hamu ya kula kuku nani aninunulie"? Siriazi ?
Mwanamke wa aina hiyo hafai ni wakupiga chini ili aende kwa hao wenye magari aone kama wana muda nae baada ya kuliwa.