bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
wacha kejeli wewe.........Hao wanawake huwa mnawaokata wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha kejeli wewe.........Hao wanawake huwa mnawaokata wapi?
Familia za watu zina mengi sana!Sasa ananyimwa msosi kwao, akale wapiii?
Hao wanafamilia ni wehu au vichaaa?
Huwa nashangaa kwa nini wengine hawana akili kama hii? Unakuta mke wa mtu anapost meme za usaliti kwenye ndoa.Mwenzangu! Sio tu kuolewa, hata katika mahusiano sithubutu kupost picha na video za wanaume wengine hata kwa zile za kuchekesha!
Hiyo nguvu ya kupost chats na mwanaume mwingine, tena nikiwa namsifia napata wapiiiiii?
Hii sidhani kama ni kweli, sema labda umejistukia Tu. Ishi maisha yako Tu, mshukuru Mungu kwa afya ya mwili na akilinilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Mimi napenda memes, sana! Ila huwa naangalia ipi ya kupost, siwezi kupost meme ya kuleta shida ktk mahusiano yangu au hata kuzua taharuki kwa wanaonizunguka.Huwa nashangaa kwa nini wengine hawana akili kama hii? Unakuta mke wa mtu anapost meme za usaliti kwenye ndoa.
Nifah hauna mdogo wake?
Noma sana ,mpe mkeo likizo bila malipoMens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.
Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Duh mkuu iyo inatokea sana ila kihalisia sio fair maana kaz saiv ni ngumu nikumsaidia apate cha kufanya.Hivi hata kama mtu lets say kijana kamaliza chuo na hajapata kazi , hivi anaweza kudharaulika mpaka na wazazi wake na hata ndugu zake? Maana kuna kijana mwenzangu hapa anapitia hiyo changamoto hadi stage ya kunyimwa msosi home kwao!
Kamaliza chuo mwaka gan?Hivi hata kama mtu lets say kijana kamaliza chuo na hajapata kazi , hivi anaweza kudharaulika mpaka na wazazi wake na hata ndugu zake? Maana kuna kijana mwenzangu hapa anapitia hiyo changamoto hadi stage ya kunyimwa msosi home kwao!
Duuh polee yake aseeeh.Familia za watu zina mengi sana!
Wewe bado sana, ila ndio tatizo la kuoa msichana badala ya mwanamke
Tena kubwaKazi ipo
Si ndio hapoMwenzangu! Sio tu kuolewa, hata katika mahusiano sithubutu kupost picha na video za wanaume wengine hata kwa zile za kuchekesha!
Hiyo nguvu ya kupost chats na mwanaume mwingine, tena nikiwa namsifia napata wapiiiiii?
Hii ipo sana, kuna wazazi chenga sana badala ya kumtia mtoto moyo wenyewe wanamdidimiza! Ukiwa nacho wanakupenda, ukikosa masimango yanaanza.hivi anaweza kudharaulika mpaka na wazazi wake na hata ndugu zake?
Kabisa wazazi hawajui ugumu wa kazi saiv wana ile mentality ukimalza ajira unapata huanze kuwasaidia.Hii ipo sana, kuna wazazi chenga sana badala ya kumtia mtoto moyo wenyewe wanamdidimiza! Ukiwa nacho wanakupenda, ukikosa masimango yanaanza.
Walio ndoani red 3 tyr.Kataa ndoa 3:0 walio kwenye doa. halafu uwanja umeinama possession 80% kwa 20%
Kwa hii dunia ya leo ya social media ni ngumu sana mkuu...! Ni Mungu atusaidieKwanza mwanamke anaye post post sana, kumiliki miliki accounts nyingi nyingi za social networks na kuwa follow akina Diamond platnumz cjui wasaf classic bby huyo ni malaya tupa kule