Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

Mwenzangu! Sio tu kuolewa, hata katika mahusiano sithubutu kupost picha na video za wanaume wengine hata kwa zile za kuchekesha!

Hiyo nguvu ya kupost chats na mwanaume mwingine, tena nikiwa namsifia napata wapiiiiii?
Huwa nashangaa kwa nini wengine hawana akili kama hii? Unakuta mke wa mtu anapost meme za usaliti kwenye ndoa.
Nifah hauna mdogo wako?
 
nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Hii sidhani kama ni kweli, sema labda umejistukia Tu. Ishi maisha yako Tu, mshukuru Mungu kwa afya ya mwili na akili
 
Huwa nashangaa kwa nini wengine hawana akili kama hii? Unakuta mke wa mtu anapost meme za usaliti kwenye ndoa.
Nifah hauna mdogo wake?
Mimi napenda memes, sana! Ila huwa naangalia ipi ya kupost, siwezi kupost meme ya kuleta shida ktk mahusiano yangu au hata kuzua taharuki kwa wanaonizunguka.

Moyo na heshima ya mwanaume wangu ni kipaumbele changu namba moja, navilinda.
 
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.

Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Noma sana ,mpe mkeo likizo bila malipo
 
Hivi hata kama mtu lets say kijana kamaliza chuo na hajapata kazi , hivi anaweza kudharaulika mpaka na wazazi wake na hata ndugu zake? Maana kuna kijana mwenzangu hapa anapitia hiyo changamoto hadi stage ya kunyimwa msosi home kwao!
Duh mkuu iyo inatokea sana ila kihalisia sio fair maana kaz saiv ni ngumu nikumsaidia apate cha kufanya.
 
Hivi hata kama mtu lets say kijana kamaliza chuo na hajapata kazi , hivi anaweza kudharaulika mpaka na wazazi wake na hata ndugu zake? Maana kuna kijana mwenzangu hapa anapitia hiyo changamoto hadi stage ya kunyimwa msosi home kwao!
Kamaliza chuo mwaka gan?
 
Mwenzangu! Sio tu kuolewa, hata katika mahusiano sithubutu kupost picha na video za wanaume wengine hata kwa zile za kuchekesha!

Hiyo nguvu ya kupost chats na mwanaume mwingine, tena nikiwa namsifia napata wapiiiiii?
Si ndio hapo
 
Hii ipo sana, kuna wazazi chenga sana badala ya kumtia mtoto moyo wenyewe wanamdidimiza! Ukiwa nacho wanakupenda, ukikosa masimango yanaanza.
Kabisa wazazi hawajui ugumu wa kazi saiv wana ile mentality ukimalza ajira unapata huanze kuwasaidia.
 
Kama mwanamke wako haoni mafanikio yako kabla hata hujayapata huna mke hapo. Halafu tabia za familia huchangiwa na aina ya watu waliowazunguka. Hamuwezi kuishi na wambea msiwe wambea.
 
Kwanza mwanamke anaye post post sana, kumiliki miliki accounts nyingi nyingi za social networks na kuwa follow akina Diamond platnumz cjui wasaf classic bby huyo ni malaya tupa kule
Kwa hii dunia ya leo ya social media ni ngumu sana mkuu...! Ni Mungu atusaidie
 
Back
Top Bottom