Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Akiiiii nimecheka kwanguvu sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
 
Na hutaelewa hadi akupige tukio LA pili wanaume dhaifu ndyo hurudi kwa wale waliiowaacha na kusingizia watato watateseka ila wanaume jasiri husonga mbele na kuendelea kula mema ya nchi
Mkuu we Kiboko
U have nailed it all😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Daaa
 
Fuata moyo wako mkuu, hayo mambo ni magumu kweli kweli kutafuta ushauri kwa watu, wote wapo sawa kulingana na experience zao.
 
Japo huwa siwaamini Wanawake sana

But mchukue tu mlee mtoto.

But kuwa mwangalifu na hakikisha this time una take over madaraka yako kikamilifu utakaloamua hakuna kubishana atake asitake.

This time uwe mbabe maana inaonesha ulimpa uhuru sana Wanawake ukiwapa democracy wanakuwa vichaa ghafla.
 
Mkuu Roho yako inasemaje??
Huyo mke wako ni mtu wa hasira za karibu??
Roho yangu bado simuamini .Yes ni mtu wa hasir
Kwani alivyoondoka hiyo miezi minne aliwezaje? Kama anarudi ili kupata unafuu wa maisha bora yaishe tu maana hapo hakuna upendo
Familia yake pia ilichangia naona alivyotegemea tofauti maana kila mtu now ana deal na maisha yake
 
Umeongea ukweli yeye alikuwa na sauti sana na nilimpa uhuru wa kupitiliza ndicho kimenigharimu
 
Matapishi hayalambwi ni SUMU
 
Kwanza pole mkuu pili kuwa makini sana na uyo mkeo siwez sema usimsamehe au umsamehe ilo lipo juu yako ila kuwa makini na

ZINGATIA HAYA:
* Kama ndo umeanza tafuta mali za kudumu mf. Nyumba,kiwanja n.k kama mama ako mzaz yupo andika majina yake afu yy ndo awe kama amekurithisha hizo mali zako.

*Kama ukimrudia usimshirikishe mambo yako muhimu ila mpende kwa kawaida sana

* Kama mkirudiana usije zngumzia namna alivo ondoka kukumbushia lolote pia vyote alivyo ondoka navyo mwambie aviache kwao aje na nguo zake tu

* Mpangie namna ya kusafir hasa kwenda kwao iwe kwa kher au matatzo
 
ww n kiazi fullstop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…