Umaskini mbaya, umaskini unadhalilisha sana .Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule
Maoni na ushauri wako please
Apange alipo panga wakati watoto wake wakiwa private!!Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule
Maoni na ushauri wako please
Kwa hiyo we ndo msemaji wake mkuu kakutuma uje umuulizie humu? Sawa mwambie akaulizie geto pale fire kwenye yale majumba ya msajili au hata upanga pia , ela yako tu iwe mfuko wa shati na sio kuleta songi songi abongisa...Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule
Maoni na ushauri wako please
aiseeUpanga....
Pale ghorofa la UVCCM ....
Kwanza kabisa mwambie olympio haina maajabu yoyote kwenye elimu, pili kama lengo ni watoto wafike shuleni kwa urahisi basi anaweza panga nyumba upanga yote maana kama anaweza kupanga upanga basi uwezo wa kununua kamkebe ka kupeleka watoto shule anao.Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule
Maoni na ushauri wako please
Hahahaaa! Kwa mbiku nilipo sikia hili jina kwa mara ya kwanza nilicheka sana.Njoo upange Nzasa huku au Mbagala Kwa Mbiku 😂
Amejenga chanika. Anataka shule ya. Karibu na mjiniHuyo ni kituko.
Haiwezekani anaishi nyumba ya kupanga then akapeleka watoto private school anawatoa huko anaona ni hasara huku akitaka kwenda kupanga karibu na mjini huko mjini kodi zake ataziweza?siyo itafika gharama ile ile akilipia watoto shule binafsi huko alikokuwa akiishi?
Amejenga chanika ni maamuzi tu anataka watoto wake wawe kwenye system ya government plus anapunguza matumizi ya sio ya lazimaUna uhakika ataweza kulipa hizo apartment wkt ada ya Private School utata
Kwani Olympio sio English Medium?Mnajitungia tu thread kujipa milage
Atoke private ahamie government school? Acheni kutunga nyuzi bila kutumia akili.
Sijui mna hasira gani na English Medium schools
Okay nadhani Kinondoni itakuwa angalau kwake maana mwananyamala malezi yatakuwa magumu sana kwakeMaeneo yanayofata.. Kinondoni, Ilala, Mwananyamala.. Magomeni
Na unapojua watoto angalau watapitiwa mida ya baada ya saa 12.
Google map itasaidia pia kuamua
Biashara zake zipo mjini anaishi Chanika. Amejenga chanika. Anataka. Kukaa mjini karibu na ofisi yakeBora angehamia nje ya mji akawapeleka watoto shule za huko huko kuliko kufukuzana na fujo na kodi za mjini
So sshv umekuwa ceoinategemea na Uchumi Wake, Kama Anajiweza Apange Hapo Upanga, Posta au Kariakoo.
ila School Buses za Hizo shule Olympio na Diamond Zinafika Popote Pale Dar es Salaam.
NB; Umenikumbusha Mbali Daah, Hapo Olympio Kuna Jengo Moja Opposite na Shule Ni Ghorofa La Wahindi Ndo Nilikuwa Nalinda Hapo.
Nilikuwa Nanunua Wali Wa Jero Shuleni hapo, Mchana Unapita Hivyo .... Maisha Buana... !!!
Matatizo na laana tupu!Kinondoni kumekaaje kwa malezi ya watoto?