Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule

Muhimbili primary nao ni English Medium?
Sina hakika, ila Diamond primary ni English medium, ila shule za mjini nyingi watoto wanaongea kingereza kutokana na mazingira wanayotokea na watoto wanaocheza nao mitaani, nimesoma bunge primary watoto wote wanachapa kimalkia ingawa shule ni ya kiswahili
 
Sasa hv ndio ww kusilika wa ikulu au umehamishiwa lindo ulanga
 
Hawa ni wale wasiojitahmini uwezo wanapoanza likitokea la kutokea ana haha na watoto karibu kusomesha watt olmpio pale ni kama open university shule haijaagi mwal mkuu mchaga pesa mbele usisahau na ya kiwi mtoto ufahamu wake kile ni kituo cha mitiha i
 
Mangi katumwa pesa
 
Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule

Maoni na ushauri wako please

Apange Bombom karibu na Buza, alafu anaingia Vingunguti kwenda Posta, alafu mwambie pumbaf kabisa
 
Reactions: apk
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…