Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

Pwani hakuna rutuba mzee njoo Geita uone utafiti mashamba mvua inapiga misimu miwili tunalima MPUNGA, MAHINDI, MAHARAGE, KARANGA, VIAZ, MIHOGO kasoro Korosho ndio sijaona huku lakin pwani kutoka Leo mpaka usubirie kosho, Nazi ni plan ya muda kidogo huku plan ndefu kupanda miti
 
Sasa Geita ipi maeneo yanapatikana.
 
Marumbo Kisarawe Pwani
Ekari Tsh 700,000/ nina Ekari moja na robo ntakuuzia 1.2m.

Wanao nizunguka wanafanya kilimo cha machungwa,maembe na miogo..mto upo jirani ukihitaji kilimo cha kumwagilia

 
Mkuu mashamba yapo mkoa wa pwani wilaya ya chalinze kata ya miono bei ni nzuri na yana rutuba saana... njia yakwenda saadan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…