Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #61
mtama lindiMtama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtama lindiMtama
MkurangaAmetengenezwa wapi?
Utaambiwa bilioni 5Uliza bei yake kwanza tuone!
Tunaweza kupitisha wabunge bila kupigwa mkuu.Mimi leo nimeshacheka hadi basi, bora angekuwa robot wa mtaani ila sio wa kwenda kupelekwa hadi bungeni.
Hii nchi sijui tunaweza kufanya nini kwa usahihi, sanamu ya Nyerere tu ilitushinda!
Mada yako ingekuwa na facts if ungeacha neno “nasikia” hivi “nasikia” vile. Means hata wewe huna correct informations😂😂
Jana condester bungeni alikuwa anampiga SPANA nape kuhusu roboti “Eunice”
Nasikia tenda wamepewa vijana kutoka South Africa kutengeneza hicho kitu, na wanasema kuna operator ambaye anafanya kazi ya kujibu kwa remote maalumu. Kwa maana kwamba kazi iliyofanyika bado haina ufanisi.
Na wameishia kumuita mdoli wa Nape.
Mimi nipo hapa kuuliza kwa ndugu zangu Watanzania.
Huyu roboti anamsaidia vipi raia ambaye huduma za kijamii kama zahanati vijijini, barabara mbovu, maji na mengineyo kuyatatua?
Jamani Kaka yangu Pascal Mayalla naomba unisaidie nijifunze kitu.najua unashinda sana bungeni.
Nisaidie faida za huyu roboti katika maendeleo ya taifa.
Litakuwepo bungenTanganyika kuna vichekesho sana, sasa hilo roboti la kazi gani?
Mkuu wangu.Mada yako ingekuwa na facts if ungeacha neno “nasikia” hivi “nasikia” vile. Means hata wewe huna correct informations
Keko modern funiture.Ametengenezwa wapi?
Robot amepaka lips rangi kama wadada wa Ambiance
dah si bora wangeenda kkoo wakanunua yale ya kuvesha nguo ngalau hela ya kodi zetu isingeenda nyingihuo ni mdoli baba
dah hivi nape katuonaje asee..... ila ndio changamoto ya 4m4 felia huwezi kufanya jambo likasimama mdoli ana rangi mdomoni kama insiyuka😂😂😂😂View attachment 2992613
Kula chuma hicho
Joyce wowowo ana zaidi ya miaka 30 mkuu ,ameanzia 90s.Miaka kumi iliyopita kuna jamaa mnazi mmoja alikuwa anachezesha mdoli maarufu kama joyce wowowo, kuna mzungu aliununua na kuondoka nao, miaka kumi baadae tunaletewa bungeni humanoid,
Huyu ni joyce wowowo tuHadi mbunge mwenzake jana alimwambia wazi kwamba katupiga changa la macho ,kuna mtu alikuwa pembeni pale anafeed swali then anatoa jibu then Robot "YUNISI" anajibu ,yaani AI ya nape ni Zero kabisa , robot anaongelea tumboni hahaaaa ,robot mdomo hauchezi kabisa ,wajifunze kwa walioweza ,inatakiwa kusiwe na humani interaction ,robot ukiliuliza inatakiwa likujibu lenyewe ,kama BOT linavyojibu ukiliuliza.
Yule jamaa tungemwendeleza sasahivi humanoid ingelikuwa technology ya tanzaniaJoyce wowowo ana zaidi ya miaka 30 mkuu ,ameanzia 90s.