Watu km wewe ndo mnafanya mama achukiwe, badala ya kuja na hoja za utetezi zinazoeleweka wewe nawe umekua mtu wa kejeli..!!Anapiga hizi kelele akiwa Uingereza mwaka wa nne hivi sasa, yale yale ya mbwa koko anabweka huku anakimbilia getini.
Kumchukia au kumshangilia haiondoi ukweli kwamba kuna kazi nzito anaifanya. Sisi wakazi wa Dar na mikoa mingine mikubwa tunakimchukia hatumpunguzii chochote ikiwa SGR inamaliziwa kujengwa muda huu.Watu km wewe ndo mnafanya mama achukiwe, badala ya kuja na hoja za utetezi zinazoeleweka wewe nawe umekua mtu wa kejeli..!!
Unachokifanya unamrushia jiwe mbwa aliyejeruhiwa…
Wewe unaonekana chawa ndiomana unatetea ulaji, huku mtaani umeona maisha ya watu kweli?Kumchukia au kumshangilia haiondoi ukweli kwamba kuna kazi nzito anaifanya. Sisi wakazi wa Dar na mikoa mingine mikubwa tunakimchukia hatumpunguzii chochote ikiwa SGR inamaliziwa kujengwa muda huu.
Ikiwa ndege 3 zinanunuliwa mwaka huu. Ikiwa wafanya biashara wanakutanishwa na wa mataifa mengine.
Ikiwa uwekezaji katika sekta ya umeme unawezeshwa kufanyika. Mwanasiasa wa ngazi ya urais haswa barani Afrika mara nyingi anachukiwa na wasomi na anapendwa na watu wa hali za chini.
Hakuna Rais anayependwa tangu Julius Nyerere kila anayeingia ikulu anakutana na malalamiko. lakini wakati sisi tunalialia na kuitana chawa kuna watu muda huu wanaanzisha biashara za mamilioni ya shilingi, wapo wanaofungua viwanda vikubwa muda huu.Wewe unaonekana chawa ndiomana unatetea ulaji, huku mtaani umeona maisha ya watu kweli?
Pesa hakuna na maisha ni magumu, wewe km unakula unashinda kwa kodi zetu tulia..
Vitisho vimepungua compared to enzi za JPM.
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Hao wanaofungua maviwanda makubwa pesa wanazitoa wapi? 🤔Hakuna Rais anayependwa tangu Julius Nyerere kila anayeingia ikulu anakutana na malalamiko. lakini wakati sisi tunalialia na kuitana chawa kuna watu muda huu wanaanzisha biashara za mamilioni ya shilingi, wapo wanaofungua viwanda vikubwa muda huu.
Tanzania hii hii tunayolia ugumu wa maisha inao wafanya biashara wanaopata madili makubwa ya kimataifa.
Mabenki yanafanya kazi gani?. Matajiri kina Marehemu Mengi walikopa pesa sembuse sisi watu wa kawaida.Hao wanaofungua maviwanda makubwa pesa wanazitoa wapi? 🤔
Wakati ukuta. We endelea kuhoji lkn watu wanapiga helaHao wanaofungua maviwanda makubwa pesa wanazitoa wapi? 🤔
Wanapiga kutoka wapi?Wakati ukuta. We endelea kuhoji lkn watu wanapiga hela
Mabank yanakopesha bila kuweka asset yoyote au mpk uwe nayo?? Vipi kwa ambao hawana?Mabenki yanafanya kazi gani?. Matajiri kina Marehemu Mengi walikopa pesa sembuse sisi watu wa kawaida.
Watanzania tunapenda sana kuhalalisha matatizo yetu tunapenda kuziwashia AC shida zetu na tunaishia kunyooshea marais vidole!.
Endelea tu kuhoji labda ipo cku utajuaWanapiga kutoka wapi?
Sasa si useme km unajua mbona unaogopa?Endelea tu kuhoji labda ipo cku utajua
Bado unahoji tu!Sasa si useme km unajua mbona unaogopa?
Wewe ndiye umekatwa kichwa, lini shida zimewahi kukosekana duniani?.Mabank yanakopesha bila kuweka asset yoyote au mpk uwe nayo?? Vipi kwa ambao hawana?
Mkuu unaongea km umekatwa kichwa, hivi unafikiri kuna mtu anapenda shida?
Wewe ndiye umekatwa kichwa, lini shida zimewahi kukosekana duniani?.Mabank yanakopesha bila kuweka asset yoyote au mpk uwe nayo?? Vipi kwa ambao hawana?
Mkuu unaongea km umekatwa kichwa, hivi unafikiri kuna mtu anapenda shida?
We fisadi unapotelea wapi? Comment ya muda unakuja kujibu leo 😹😹Wewe ndiye umekatwa kichwa, lini shida zimewahi kukosekana duniani?.
Siku zote wanaokopeshwa wanazipata vipi hizo pesa?.We fisadi unapotelea wapi? Comment ya muda unakuja kujibu leo 😹😹
Nakuuliza tena hizo bank ziko tayari kukopesha mwananchi ambaye hana assets?
Jibu km hujakatwa kichwa sasa..!!
waje waseme tena leo hii!!👿yeye ndio Rais na Amiri jeshi mkuu, ameshaamua sasa na kazi inaendelea asietaka akaumeze wembe
mama samia ni Chaguo la Mungu tulichelewa sana[emoji120][emoji120]
View attachment 1745230