Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Hangaya hajawahi kuwa mtu mwema isipokuwa ana PhD ya unafiki.Kipindi cha jpm kushweka wapinzani mahabusu au mahakani bila kosa ilikuwa ni jambo la kawaida na tulikuwa tumeshazoea. Sasa je na huyu anakaribia kumfikia japo kwa mbali?
Ni rais Bora
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Bwawa la umeme Rufiji na SGR

We poyoyo utakuwa dunia tofauti

Chadema na bidii yao ya kutangaza mabaya ya Dr samia, lissu alitamka yeye mwenyewe kwa mdomo wake NI LAZIMA AANZISHE UASI, kauli kama hizi mara nyingi ni lazima zipekuliwe, zichunguzwe, maana huyu anayetamka sio mtoto mdogo tunayeweza kumpuuza, lazima hata pengine funds na account zake zichunguzwe hii si kauli ndogo hata siku moja, naona watu wanachukulia poa Poa tu, kuibomoa amani ni sekunde moja tu, kuijenga sasa au kuirudisha it can take 20+,aidha ishindikane kabisa kimsingi ni lazima kauli yake ichunguzwe by any mean
View: https://youtu.be/YB7-cF_grvo?si=8i20rcxD78wdGbboThe incident of detaining Tundu Lissu, The CHADEMA National Chairperson for falsely culculated treason charges is now a spotlight of discussion in major international and national mainstreams, blogs, vlogs and other social medias..
Africa Uncoverd blog and tubers are digging this incident in deep in this short audio video..
#No Reforms, No Election
#FreeTunduLissu now
Angekuwa Samia ni Dikteta angemtembelea Lissu Nairobi mwaka 2017? Angekuwa Samia ni Dikteta angemfuata uhamishoni Brussels na kuongea naye na kumsihi Lissu arudi nchini??
View: https://youtu.be/YB7-cF_grvo?si=8i20rcxD78wdGbboThe incident of detaining Tundu Lissu, The CHADEMA National Chairperson for falsely culculated treason charges is now a spotlight of discussion in major international and national mainstreams, blogs, vlogs and other social medias..
Africa Uncoverd blog and tubers are digging this incident in deep in this short audio video..
#No Reforms, No Election
#FreeTunduLissu now
Ngoja tuone hii style aliyoichagua itamfikisha wapi.Awe makini - kuongeza maadui wengine ni hasara kwake.
Sidhani kama kuna utawala wowote Duniani ambao alipingana na viongozi wa dini hasa wa haya madhehebu makubwa afu ukapeta.