Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,465
- 5,438
Yaani kiuhalisia bila kufwata mihemuko mala mia Tundu Lissu awe rais kwa manufaa ya inchi yetuMadaraka hulevya mkuu ukianza kunywa damu za watu kamwe huwezi acha
Hakika mkuuYaani kiuhalisia bila kufwata mihemuko mala mia Tundu Lissu awe rais kwa manufaa ya inchi yetu
CCM hawaelewi hawaeleweki,waoga,wanafiki,wanajipendekeza na wengi wao wamejifunza kuwa wajinga na matokeo yake wanafanya mambo ya kipumbafu kwa kuwa wanachofanya wanajua hakifai lakini bado wanafanya eti kwasababu wa fedha.Hivi huko CCM hamna mwanaume mwenye uweze wa kuongoza inchi,huyu Mama inchi imemshinda tunakoelekea miaka mitano ijayo itakuwa mibaya kabisa,
Sababu anaonekana anauwezo mdogo sana wa kuchambua mambo,ndiyo maana anapenda sana kusifiwa na kualikwaalikwa ili apate ingalau faraja,lakini akipata changamoto kidogo tu anachanganyikiwa
kiuhalisia hatuwezi kuongozwa na rais kama huyu,maana wanaompa ushauri wao hawajali kivile sababu mwisho wa siku anayelaumiwa ni yeye
inaonekana yeye anaupokea kama ulivyo ndiyo maana amebadilika sana kutoka yule samia wa mapatano na wapinzani mpaka huyu jeuri
Magufuli alikuwa haendani na watu wenye akili ndogo! Utamsikilizaje mtu mwenye akili ndogo?Sasa hivi anaamua ya kwake kwa sababu wakati wa Baba, Mama hakusikilizwa ushauri wake kwa hiyo mumuache kabisaa awafanyie kazi watu, besides sasa hivi watu wanahitaji faraja kwanza kwa maisha walopitia hapo nyuma.
Nawasilisha
MmekwishaNimeuliza tu jaman msinishambulie sana, maana mimi nimeona kuna ubinafsi mkubwa sana kwenye hii tabia , lakini nimebaini kiongozi huyo hana uchungu wala upendo wa dhati kabisa na watu wake anao waongoza na mengine yafananayo.
Sasa najiuliza huyu kiongozi yupo hapo kwa ajili yanani?
hayo si anayaruhusu yeyeNimeuliza tu jaman msinishambulie sana, maana mimi nimeona kuna ubinafsi mkubwa sana kwenye hii tabia , lakini nimebaini kiongozi huyo hana uchungu wala upendo wa dhati kabisa na watu wake anao waongoza na mengine yafananayo.
Sasa najiuliza huyu kiongozi yupo hapo kwa ajili yanani?
Sasa kama ndivyo si anakuwa hatoshi kabisa pale maana kiongozi lazima awe na mamlaka ya ya kukemea maovu hata kama yanafanywa na walio serikalini , ni hataria sana kwa nchi kuwa na kiongozi anaye fumbia macho wizi ,ubadhirifu na ufisadi huyo hafaihayo si anayaruhusu yeye
Nimeuliza tu jaman msinishambulie sana, maana mimi nimeona kuna ubinafsi mkubwa sana kwenye hii tabia , lakini nimebaini kiongozi huyo hana uchungu wala upendo wa dhati kabisa na watu wake anao waongoza na mengine yafananayo.
Sasa najiuliza huyu kiongozi yupo hapo kwa ajili yanani?
Halafu mjinga mmoja anasema CCM ipo kwa ajili ya wananchi , wananchi gani mnao watetea kwa kujilipa mamilioni yote hayo huku wananchi wakikosa hata panadol hospitali, hii nchi 60 ya bugdet inahudumia wanasiasa ambao hawalizalishii chochote taifa zaid ya kuleta tafran tuu nchini.Wanakula kwa urefu wa Kamba zao.
Hivi Kama ya Samia ina Urefu gani....!!?
Atakemeaje wakati ni sehemu ya uovu husika?Nimeuliza tu jaman msinishambulie sana, maana mimi nimeona kuna ubinafsi mkubwa sana kwenye hii tabia , lakini nimebaini kiongozi huyo hana uchungu wala upendo wa dhati kabisa na watu wake anao waongoza na mengine yafananayo.
Sasa najiuliza huyu kiongozi yupo hapo kwa ajili yanani?
Atakameaje wakati yeye ndiyo mhusika mkuu?Nimeuliza tu jaman msinishambulie sana, maana mimi nimeona kuna ubinafsi mkubwa sana kwenye hii tabia , lakini nimebaini kiongozi huyo hana uchungu wala upendo wa dhati kabisa na watu wake anao waongoza na mengine yafananayo.
Sasa najiuliza huyu kiongozi yupo hapo kwa ajili yanani?