Kama uliisikia hotuba yake ya juzi ,huna haja ya kuuliza hayo maswaliNimeuliza tu jaman msinishambulie sana, maana mimi nimeona kuna ubinafsi mkubwa sana kwenye hii tabia , lakini nimebaini kiongozi huyo hana uchungu wala upendo wa dhati kabisa na watu wake anao waongoza na mengine yafananayo.
Sasa najiuliza huyu kiongozi yupo hapo kwa ajili yanani?
Kwa ajili yake, familia yake na kunguni wake.. Nyie kwakwe ni vinyamkera tuuuNimeuliza tu jaman msinishambulie sana, maana mimi nimeona kuna ubinafsi mkubwa sana kwenye hii tabia , lakini nimebaini kiongozi huyo hana uchungu wala upendo wa dhati kabisa na watu wake anao waongoza na mengine yafananayo.
Sasa najiuliza huyu kiongozi yupo hapo kwa ajili yanani?
Hapa huwezi kuona Mwashambwa, chiembe, tlaatlaah wakiongea chochote cha maanaNimeuliza tu jaman msinishambulie sana, maana mimi nimeona kuna ubinafsi mkubwa sana kwenye hii tabia , lakini nimebaini kiongozi huyo hana uchungu wala upendo wa dhati kabisa na watu wake anao waongoza na mengine yafananayo.
Sasa najiuliza huyu kiongozi yupo hapo kwa ajili yanani?
Tume za kuchunguza ufisadi zitaundwa nyuma ya mikamera majibu ya hizo tume nyuma ya paziaNimeuliza tu jaman msinishambulie sana, maana mimi nimeona kuna ubinafsi mkubwa sana kwenye hii tabia , lakini nimebaini kiongozi huyo hana uchungu wala upendo wa dhati kabisa na watu wake anao waongoza na mengine yafananayo.
Sasa najiuliza huyu kiongozi yupo hapo kwa ajili yanani?
Mbona wote tunamsikiliza huongea kwa ukali kama alivyo kemea wanaharakati? Au kwa vile unahofu wanaharakati wanahatarisha ugali wake ndio maana anakuwa makali kuliko kukemea ufisadi. Huoni huu ni ubinafsi?Ukitaka kuskia akiongelea Rushwa nenda youtube ukasikilize mada za rushwa kila mkutano na mada zake
Tuliisikiliza mbona?Kama uliisikia hotuba yake ya juzi ,huna haja ya kuuliza hayo maswali
Kwahiyo unataka asiongee kwa ukali akubembelezeMbona wote tunamsikiliza huongea kwa ukali kama alivyo kemea wanaharakati? Au kwa vile unahofu wanaharakati wanahatarisha ugali wake ndio maana anakuwa makali kuliko kukemea ufisadi. Huoni huu ni ubinafsi?
Chumvi umemwekea ndugu?Tukajifanya tunaoujasiri wakuonja sumu , dadadeek Kizimkadzi anatunyorosha kinyambisi , na sijui tutamchomoaje dadaddeeeki.
Paka kashaonja panya mwenye chumvi ...tuliombee tu Taifa