Huyu hakufaa kabisa kupewa majukumu makubwa hivi. Hajiamini kiasi ambacho akisemwa kdg tyr anaona ufumbuzi na kumuua aliyemsema. Hivi kweli yule kijana aliyechoma picha yake alikuwa na threat gn Kwa utawala wake? Yule kijana, ht kwa kumuangalia tu, alikuwa Ni mtu wa kupuuzwa tu. Bila huruma anamkamata na kumchinja km Kuku?Huyu inaonekana ss anafurahia kuona damu za wakosoaji wake zikimwagika. Ndiyo starehe yake.. Tuna Sheikh Asina mwingine hp Tanzania. Lkn kwa Bahati mbaya hatuna Mgen Z Wa Bangladesh Wala Wa Kenya. Sisi tuna machawa tu Wa kusifu na kuabudu. Yaani mtu anateka n kuua watu lkn anasifiws. Ataendelea kuogelea kwenye damu za watu hadi aache mwenyewe.Mfano magufuli angeedelea Hadi Sasa ni kweli Wana CCM wangethubutu kumshawishi agombee kumrithi magufuli? Tuseme TU ukweli huyu alifaa kikatiba tu kumrithi magufuli baada ya kufariki si vinginevyo. Amekua uchochoro sana.
Tatizo lake ana kiburi sana. Yaani mtu anajua kabisa kuwa ameingia kwenye hiyo nafasi kwa bahati mbaya tu lakini anashupaza shingo anajiona ana uwezo wa kuendesha nchi. Hopeless kabisaaaaMfano Magufuli angeedelea Hadi Sasa ni kweli Wana CCM wangethubutu kumshawishi agombee kumrithi Magufuli?
Tuseme TU ukweli huyu alifaa kikatiba tu kumrithi Magufuli baada ya kufariki si vinginevyo. Amekua uchochoro sana.
Hatoshi.Mfano Magufuli angeedelea Hadi Sasa ni kweli Wana CCM wangethubutu kumshawishi agombee kumrithi Magufuli?
Tuseme TU ukweli huyu alifaa kikatiba tu kumrithi Magufuli baada ya kufariki si vinginevyo. Amekua uchochoro sana.
Amekuwa kenge mkubwaMfano Magufuli angeedelea Hadi Sasa ni kweli Wana CCM wangethubutu kumshawishi agombee kumrithi Magufuli?
Tuseme TU ukweli huyu alifaa kikatiba tu kumrithi Magufuli baada ya kufariki si vinginevyo. Amekua uchochoro sana.
Inasikitisha sanaHuyu hakufaa kabisa kupewa majukumu makubwa hivi. Hajiamini kiasi ambacho akisemwa kdg tyr anaona ufumbuzi na kumuua aliyemsema. Hivi kweli yule kijana aliyechoma picha yake alikuwa na threat gn Kwa utawala wake? Yule kijana, ht kwa kumuangalia tu, alikuwa Ni mtu wa kupuuzwa tu. Bila huruma anamkamata na kumchinja km Kuku?Huyu inaonekana ss anafurahia kuona damu za wakosoaji wake zikimwagika. Ndiyo starehe yake.. Tuna Sheikh Asina mwingine hp Tanzania. Lkn kwa Bahati mbaya hatuna Mgen Z Wa Bangladesh Wala Wa Kenya. Sisi tuna machawa tu Wa kusifu na kuabudu. Yaani mtu anateka n kuua watu lkn anasifiws. Ataendelea kuogelea kwenye damu za watu hadi aache mwenyewe.
Tuhurumie Sheikh Asina
Mabepari yamemng'anga'nia ili yaendelee kuvuna make wanamwona si mwelewa.Hii nchi inawezekana kuna kikundi cha watu kiliichukua mateka.
Mama ni pazia tu ndio maana huwa simlaumu saana.
Yawezekana kuna mambo yakitokea hata yeye huwa anaumia lakini kikundi kina m blackmail
Mabeyo alipotaka kushtuka kapewa ubalozi sijui wa nchi gani vile!Mobeyo alituuza kwa kweli. Hakujua hii kampuni inahitaji watu wa aina gani matokeo yake leo ni vilio kila kona hadi Kampala na Nairobi.
Alitakiwa aongozi siku 90 tu uchaguzi unaitishwa.
Umshawishi kugombea baada ya Mwendazake kwani alipata wapi kupimwa?Mfano Magufuli angeedelea Hadi Sasa ni kweli Wana CCM wangethubutu kumshawishi agombee kumrithi Magufuli?
Tuseme TU ukweli huyu alifaa kikatiba tu kumrithi Magufuli baada ya kufariki si vinginevyo. Amekua uchochoro sana.