Kwanini jeshi linadhalilishwa hivi awamu hii?Kwanini imefikia hatua hadi polisi anaweza mdhalilisha mwanajeshi hadharani?
Huyu haji Omar kheri nae ni wa kuambatana na Rais kweli?Baada ya tuhuma nzito vile?
Sasa Samia hauna imani namna hii na magenerali mpaka unawapitishia walinzi nyuma na mbele ulifuata nini huko jeshini?
Hawa kina mapete wanakudanganya, PSU haina uwezi wa kudhibiti jeshi hata kama wanajeshi hawana silaha, hizo hizo silaha watu wako wa PSU wanaingia nazo Jeshi kama wanajeshi wangekuwa wanakutaka zingetumika dhidi yako
Uwezi kuongoza nchi kwa silaha mpaka majeshi namna hii unaingia umechanganyikiwa unaweka jeshi chini ya ulinzi wa wahuni hao?
Hivi JWTZ mtadhalilishwa hivi mpaka lini? Kwamba mnaweza linda mpaka ya nchi, mna ndege na vifaru halafu eti Samia ana imani nanyie hapo kambini Monduli anakuja na watoto wadogo kweye masuala ya ulinzi kuwatisheni namna hii?
Mna kazi gani sasa kama yeye anaona PSU inaweza mlinda kuliko nyie ? Kwamba JESHI lina uwezo mdogo hivi tunavyoonyeshwa hapo ? Kwa nyie ni kama waharifu wengine tu hapo kambili mnafanyiwa mambo ya ajabu ajabu namna hii?
Huyu hana imani na nyie sababu ameua ndugu zenu, sasa mwambieni amuwezi kufanya naye kazi
View attachment 3505904