Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

PSU ni nini MKUU?? bado uko dunia ya miaka ya 80 hakuna kitu kama hicho nyakati hizi JIUPDATE.

By the way unaowaona mafala ndo wameibeba hii nchi mpaka sasa vinginevyo mlikua mnasaga meno
13Pia niliona chini ya jua mfano huu wa hekima ambao ulinivutia sana: 14Palikuwa na mji mdogo uliokuwa na watu wachache ndani yake. Mfalme mwenye nguvu akainuka dhidi yake, akauzingira kwa jeshi kubwa. 15Katika mji huo kulikuwa na mtu mmoja maskini lakini mwenye hekima, naye akauokoa ule mji kwa hekima yake. Lakini hakuna aliyemkumbuka yule maskini. 16Kwa hiyo, nikasema, “Hekima ni bora kuliko nguvu.” Lakini hekima ya maskini imedharauliwa, wala hakuna anayesikiliza maneno yake.
17Maneno ya utulivu ya mwenye hekima husikiwa kuliko makelele ya mtawala wa wapumbavu.
18Hekima ni bora kuliko silaha za vita, lakini mwenye dhambi mmoja
huharibu mema mengi.
 
Kwan ulitaka wasiambatane wakiwa wamejihami ili ufanye nini mbugila wa TEC wewe?

halafu mlishasema hamumtaki halafu unajikomba eti samia samia...
 
Kwenye huu sintofahamu, Askari Polisi ikiongozwa na IGP imeonakana ina nguvu kuliko JWTZ.
Duniani kote jeshi la Ulinzi huwa nguvu na kuheshimika sana kutokana na katiba zao kuwalinda kuwawekea misingi ya kuheshimika mfano Uganda kenya Rwanda wanajeshi huheshimika sana ni Tofauti na Tanzania ambapo IGP na Polisiccm hujiona wapo juu ya vyombo vyote vya ulinzi kiasi cha Polisiccm kuwadhalilisha jwtz mda wowote
 
Unalalamika kama unamimba changa sasa PSU kwenda na silaha jeshini imeanza leo ,ma raia mnashida sana kama hujui Uliza

USSR
 
JWTZ wamekubali kudhalilika, au ni kweli wao ni powerless mbele ya IGP na vijana wake
 
Kwan ulitaka wasiambatane wakiwa wamejihami ili ufanye nini mbugila wa TEC wewe?

halafu mlishasema hamumtaki halafu unajikomba eti samia samia...
Wewe mvuta Bangi mbweha chizi Udini acha ufala wako , TEC wanaingiaje? Udini wenu wa kifalafala bakia nao huko Bakwataccm kwa mashehe majini ubwabwa, hapa jadili hoja ya kuwadhalilisha jwtz acha ubwege
 
JWTZ hawana namna, ujinga wao umesababisha watekwe. Achakuwastua wajinga hao.
 
Huyo jambazi Haji Omary kheri kwenda kukagua jwtz ni Aibu kubwa
 
JWTZ hawana namna, ujinga wao umesababisha watekwe. Achakuwastua wajinga hao.
Waliomba support ya Wananchi tarehe 29, tukawapa, cha ajabu wakatusaliti na kusimama na wauwaji kisa tu walilipa laki tatu na 10 hawa watu wametusaliti vibaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…