Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

May all souls find enlightenment,

Tukiacha chuki na ushabiki, watu mashuhuri na viongozi mbalinbali wa kimataifa wamekua wakikumbukwa kwa kauli zao aidha za busara, weledi au zinazoakusi maarifa yao.(zinaitwa quotes)

Kuna quotes za kina Mandela, quotes za kina Obama, Nyerere, quotes za kina Magufuli, Samora, watu mashuhuri kama Mirium Odemba, quotes za Flaviana Matata n.k

Sasa binafsi kuna mwanamuzuki wa Malawi Kila akiongea sipati reflection ya nasaha za kulink na dondoo za weledi na maarifa au pengine ni mimi tu ndio simuelewi. Hebu tukumbushane baadhi ya quotes zake kama umepata nafasi ya kuzisikia.

Mimi nakumbuka kauli ya "kutoa mamba pembeni ..........." Kila nikiikumbuka au nikiisikia haiachi kunichanganya na kunishangaza kwa wakati Moja.

Je wewe unakumbuka kauli ipi ?
 
Huyu mtu king'ang'anizi. Kwanza ameteka watu wengi, ameua Watanzania wengi wasio na hatia hadi watoto wa miaka miwili, amekuwa akiwanyanyasa vyama pinzani ndani ya utawala wake wote, amechafua taswira ya Tanzania kimataifa, bado madarakani anaweka ndugu zake, uongozi wenyewe hajui, nchi hata haiendelei kwa spidi inayotakiwa, ni fisadi huyu mama. Kila siku kukopa tu.

Kakopa hela nyingi kuliko Magufuli kwa hiyo tulitarajia kuona miradi mingi mikubwa safari hii kuliko enzi za Magufuli ila hatuelewi hela alizokopa kapeleka wapi.

Huyu mama ananyanyasa Watanzania, anatuletea kodi za tozo za ajabu ajabu, ukimsema unatekwa yani hana sifa hata moja ya kututawala.

Nasikia na form 4 alipata D moja tu ya Kiswahili. Anauza nchi kwa waarabu sasahivi. Yaani yeye ni kuharibu tuu.

Nakumbuka Samia alivyoapishwa mwaka 2021 kuwa Rais nilifurahi sana nikategemea kuona makubwa na nilikuwa curious kuona utawala wa mwanamke ukoje.

Nakumbuka marafiki wenzangu wakimsema Samia vibaya nilikuwa nawaambia hamumpendi Samia kwa sababu tu ni mwanamke.
Ila sasa baada ya utawala wake, aisee najisikia aibu sana kwamba hapo mwanzo nilimpenda huyu mama, eti nikawa namtetea kabisa. Looh!

We Samia, unaingiza Tanzania yetu shimoni, hebu toka bhanaaa. Achia madaraka hujui kitu, toka kabisa waje wengine. More than 80% ya Watanzania hatukupendi. Hatutaki wauaji Tanzania, toka.
 
Tuwe tu wa kweli kuna mambo hatujawahi kuyashuhudia tangu tupate uhuru wa Tanganyika tarehe 9/12/1961!
1. Mauaji ya vijana wengi siku ya uchaguzi tarehe 29/10/2025
2. Mauaji na utekaji uliokithiri kwa wakosoaji wa serikali
3. Kuwekeweka vikwazo vya kiuchumi na EU
4. Mgombea wa ccm kushinda uchaguzi kwa 97.66% na wakati wapiga kura hawakujitokeza kwa kiwango kilicho rekodiwa cha wapiga kura milioni 32!
5. Rais wa nchi kuwa karibu zaidi na vyombo vya dola kuliko wananchi wa kawaida!
6. Rais wa nchi kuchagua wanafamilia wake (mkwe na mtoto wake) kwenye baraza lake la mawaziri.
7. Rais wa Tanganyika kuwa ni Mzanzibari kwa 100%!!
 
Samuya ni 🚮🚮🚮 kabisa.. lakini zaidi ni maccm.. haya ni majizi yaliyopindukia.. yako tayari kuua halaiki na hayana remorse.. revolution haiepukiki this time
 
Eti anataka atolewe kwa sanduku wakati ameshaandaa majangili menzie yaibe kura na kuua qapiga kura
 
Kuna members wanajichanganya sana, wana ID nyingi ila mawazo yao ni yale yale, maoni ni yale yale, sijui wanamzingua nani!
 
Japo Sina hoja ya Udini...

Lakini hapa ni wazi kabsa udini unaonekana.. katika hao wote naona ni waslamu.. sijui huyu mother lengo lake ni lipo kwenye hii nchi!!
 
Hicho naona ndio suluhu sahihi kabisa ya nchi hii kutulia tena itatulia kabisa hakuta kuwa na nywinywi wala nywinywinywi

tatizo kubwa kwa nchi hii kwa sasa ni hawa watu wawili tu hawa na hawa ndio kiini cha haya yote kwa sasa nchin8 tanganyika, wakidhibitwa hawa watu wawili tu nchi itakuwa salama kabisa tena salama kabisa na amani itarejea vizuri kabisa

Lakin kuamini kwamba nchi hii itatulia kwa kuendelea kuua raia wema wanao dai uhuru ndani ya nchi yao ni kujidanganya kabisa na hapo ndipo mtakapo endelea kutengene,a tatizo kubwa zaidi na zaidi

Huo ni ishauri wangu muhimu siku ya leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…