Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Njia aliyoamua kuiendea kwake itamtesa hadi siku anashuka kaburini!
na vizazi vyake piaNjia aliyoamua kuiendea kwake itamtesa hadi siku anashuka kaburini!
Huyo shangingi hiyo unayoona ndiyo rangi yake halisi, ni shankupe na mshari aliyezoea kusutana na kutukanana. Pale inaonekana alikuwa hajazimua nyagi aliyopiga usiku.Bado. natafakari maneno na tambo zake na kushangaa kama kuna tatizo sehemu. Inasikitisha tumefika hapa. Sijui ni ajali au. makusudi? Tujilaumu au tumlaumu au yupo wa kulaumu?
Ataanza kujinyea mda si mrefuBado. natafakari maneno na tambo zake na kushangaa kama kuna tatizo sehemu. Inasikitisha tumefika hapa. Sijui ni ajali au. makusudi? Tujilaumu au tumlaumu au yupo wa kulaumu?
😂😂😂😂😂Mke wa tatu kaozwa kwa mzee, kashazoea kuchambana na wakewenza, unategemea atakuwa mzima?
Baada ya wananchi kumkataa na kisha ulaya sasa ni zamu ya USA kumkataa aendelee kujifanya yeye ndio yeye ujeuri hauna gharama na sisi tuna nunua
Atakimbia mwenyewe hatutokubali lazima tumuondoe
Ana ulinzi wa mashehe ubwabwa wamemzungaBaada ya wananchi kumkataa na kisha ulaya sasa ni zamu ya USA kumkataa aendelee kujifanya yeye ndio yeye ujeuri hauna gharama na sisi tuna nunua
Atakimbia mwenyewe hatutokubali lazima tumuondoe
Huyu **** ndio kaua wa Tanganyika hivi
Wananchi wa wapi?acha kugeneralize ..mm nampenda samiaBaada ya wananchi kumkataa na kisha ulaya sasa ni zamu ya USA kumkataa aendelee kujifanya yeye ndio yeye ujeuri hauna gharama na sisi tuna nunua
Atakimbia mwenyewe hatutokubali lazima tumuondoe
Noma sana aisee.