Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kama alivyo Rais muuaji mnakwepa suala la watu waliouliwa majumbani nje kabisa ya maeneo yaliyotokea vurugu. Mnaonyesha kujali zaidi mali kuliko kuliko uhai wa binadamu. Watutsi mna roho mbaya sana l
akini wakati waja na hauko mbali mtatafuta wenyewe njia ya kurudi kwenu.
 
Kuelewa hili halihitaji kuwa mzazi tu lazima uwe mlezi pia

Nini maana ya ulezi.? Ndio swali

Watu tunazaliwa tukiwa dhaifu kiasili na wakaidi, mlezi ni ayechukuliana na udhaifu huo mpaka ukamilike kamili

Watoto hawazaliwi wakiwa wakamifu inahitaji saburi ya walezi kuwakamilisha kwa changamoto lukuki

Ajabu ni kwamba wengine wanajikuta malaika wengine mashetani hawana haki ya kulelewa
 
Nani aliyekuambia kuwa kulikuwa na amri hiyo na yeye ndio aliyeitoa?
 
Mwamba kwahiyo ushaamini stori za kutungwa na kusambazwa na wajanja wa mfumo?
Wajanja wamekuingiza chaka Fweleboy anawazum tu vile Ngoma yake inachezwa na mbumbumbu
Kama na wewe unayejiona mjanja kutetea na kuwaona wafiraji na watekaji akina Mafwele ni wajanja ubongo wako utakuwa likizo kuna kiungo kingine unatumia.
Atoke athibitishe wauaji wajinga nyie, mnajaribu kuipotezea kama mlivyofikiri mlivyoua watu watasahau as the time goes on
Go to hell!!
 
Kimsingi machafuko hayakuwepo ila uchu wa madaraka ndio ulipelekea mass killings.
Kuna wafanyakazi zaidi ya 1000 wa Lake Oil maisha yao yamerudia hali ya umaskini baada ya vituo vyao vya mafuta kuteketezwa kwa moto.

Kuna vituo vya mwendokasi vilivyochomwa na wahuni, vilileta taabu ya wanafunzi kwenda na kurudi mashuleni mpaka serikali ilipoamua kuvifanyia ukarabati.

Zile akili za Gen Z zimeleta umaskini kwa baadhi ya biashara, mzunguko wa pesa mpaka leo umeharibiwa.

Vijana wamejifunza kwa namna ngumu sana kuhusiana na mifumo ya kiulinzi ya Tanzania.
 
Vituo vya mafuta visingechomwa huko mtaani hao walioliwa majumbani wasingefuatwa na kupigwa risasi.

Unapoandaa machafuko kwenye nchi yoyote unahatarisha maisha yako na ya wale wanaokuzunguka.

Lissu na Heche walijua vitakuwepo vifo vingi lakini wakaendelea na mpango wao wa 'kukinukisha'.

Walipoifahamu hatia yao kwenye suala zima wakaendeleza juhudi mbalimbali za kuipaka matope tume ya Chande.
 
Punguza sukari, kula chakula Cha kutosha, na usisahau maji ya kutosha
 
Kumbe wewe siyo mjinga tu bali ni mpumbavu. Uzuri tunakufahamu siku ya kisasi tunajua cha kufanya.
 
Naona giza mbele! Unarudishaje roho za maiti over 10,000 ( inavokadiriwa). IMPOSSIBLE! WHAT NEXT?

Shoot to kill was not a good option!
Hata Mimi ningekuwa raisi ningewaua siwezi kukubali watu 10000 waharibu maisha ya watu milioni 60

Labda kilaza kama wewe ndio ungewaacha Hadi Leo wangekuwa wanaendelea tu kuchoma maduka ya watu na miundombinu ya serikali Ili vilaza wenzako wakuone wewe ndio kiongozi bora

Hata Mungu ameruhusu kuuliwa watu wanaotaka kuvuruga amani katika nchi
 
GT
Hakuna jambo linatia hasira kama Samia kukalia ikulu kwa sababu huo uwezo wa kuingoza nchi hana.

Just imagine for more than 120 days kajificha haijulikani.anafanya kazi gani, anakaa wapi? nchi kamwachia Mwigulu Nchemba hata kutoka kuwashukuru wapiga kura hawezi.

Shida tutakayopata Tanganyika ni kwamba nchi inabaki kwenye mkwamo wa kiuchumi kwa miaka 10 bIla mipango yoyote ya maana kitu ambacho ni hatari sana Miaka 10 ni mingi mno Ndugai alijua hili.

Samia kawekwa na wahuni wasiolitakia mema Taifa letu maana hata yeye anajua hawezi kuongoza, CCM yote wanajua hana uwezo huo unafiki, ulafi na ubinafsi wa baadhi ya watu( Kundi Mtandao) ndo unaendelea kuingamiza Tanganyika yetu.

Your browser is not able to display this video.
 
Hata kulilia rais atoke kuwashukuru wapiga kura nayo ni muendelezo wa siasa za kitapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…