Emmanuel kant
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 333
- 857
Sidhani kama kunalolote linaweza badilisha kituKwamba wale 200 kule msasani inabidi tusahau tu??
KabisaTena ikiwa akili na upeo unakusuma kwamba kifo ni kifo..
Huyu anaweza kufanya lolote. Ndiyo maana anamchagua Mwizi kwenda Mbinguni sehemu takat8fu 8ngawa mbinguni yenyewe kwa sasa imejaa mashetaniWakuu msilalamike sana, kwani kitu gani kipya kinachizidi kuua watu zaidi ya 10000!? Haya mengine ni madogo, mtu aliyeweza kufanya hayo hawezi kushindwa kufanya kingine chochote l.
Hajali loloteHuyu anaweza kufanya lolote. Ndiyo maana anamchagua Mwizi kwenda Mbinguni sehemu takat8fu 8ngawa mbinguni yenyewe kwa sasa imejaa mashetani
Nilikuwa nasikia madaraka yanalevya huyu kawa teja wa madarakaHuyo kachanganyikiwa ndio maana anakaa tu ndani atokee nje aje kwenye mitaa kama apigwi manati
Inasikitisha sanaKilichonifanya nikakosa kumwamini ni baada ya kusoma mauaji aloyafanya kuanzia nuhu, kumpa daud nguvu za kumuua goliath,yule jamaa alokuwa nguvu kutokana na nyele zake, sodoma na gomora nakadhalika yote ni mungu alikuwa anaamuru yote kutokea lakini shetan yeye hajatajwa kufanya mauaji. Na huo mfumo viongozi ndio wanaoutumia wao si wanajiona miungu watu na upinzan ni mashetani. Ngoja nimalizie konyagi langu nakuja.
Unamaanisha ile ya tyrant of the year?Mbona kishalamba Hadi Tuzo!
NdioUnamaanisha ile ya tyrant of the year?
We jamaa unampenda sana huyo Samia…Mama Samia atakumbukwa kwa :
Mambo yaliyomshinda
- Mauaji yalitokea Oktoba 29
- Wizi wa kura
- Rushwa
- Undungu
- kutokutimiza wajibu wake
- Kuweka usalama hasa wa Polisi na sasa kuendeshwa na Polisi na usalama
- Kuweka undugu mbele na kupendelea wanzanzibari na ndugu zake
- Rushwa kiasi kwamba badala ya kuendeleza aliyoacha Magufuli ameshidwa
- Maridhiano ya kisiasa
- 4 Rs nazo zimeshidwa
- Kapoteza imani ya viongozi wa dini kabakia na machawa wa Bakatwa pekee
- Kulazimisha wanahabari kuunga mkono
- Kubadilisha katiba
Urais wake uliendeshw na masela wenye mipango yao ambayo mingi ni kuididimiza wa Tanganyika!Mama Samia atakumbukwa kwa :
Mambo yaliyomshinda
- Mauaji yalitokea Oktoba 29
- Wizi wa kura
- Rushwa
- Undungu
- kutokutimiza wajibu wake
- Kuweka usalama hasa wa Polisi na sasa kuendeshwa na Polisi na usalama
- Kuweka undugu mbele na kupendelea wanzanzibari na ndugu zake
- Rushwa kiasi kwamba badala ya kuendeleza aliyoacha Magufuli ameshidwa
- Maridhiano ya kisiasa
- 4 Rs nazo zimeshidwa
- Kapoteza imani ya viongozi wa dini kabakia na machawa wa Bakatwa pekee
- Kulazimisha wanahabari kuunga mkono
- Kubadilisha katiba
Mama Samia atakumbukwa kwa :

Atakufa vibaya sana huyu Samia, ni laana kwa taifa letu pendwa.Mama Samia atakumbukwa kwa :