Haya makosa kutoka Zanzibar ni mwisho sasa.View attachment 3620290
Ukiangalia mashehe uchwara aka mashehena kama Mwaipopo wanavyomwaga upupu bila kutiwa nguvuni, unagundua kuwa kumbe, chini ya Samia, tunaendeshwa na mfumo islamu. Mko wapi waislam ambao mmekuwa mkilalamikia mfumo kristo wakati anapoongoza mkristo? Je, huu ni urushi, unafiki, kujisahaulisha au upofu? Njooni hapa tuongelee mfumo islamu wakati huu wale mliozoea kushutumu mfumo kristo.'
Kwani ana Mpango wa Kugombea tena?Kipaumbele chake kikubwa kwa sasa ni political survival na sio haki, lazima awalinde wahuni wenzake ili na yeye abaki salama.
Anasongesha maendeleo ya TanzaniaUkiingia kwenye maovu ambayo uwezi kupeleka mahakamani ,polisi wala nyumba za ibada ndio yanayo mkuta samia na wahuni wake.
Kwa sasa hakuna anawezwa kuwajibishwa sababu akifanya hivyo wataanza kumgeuka na kumuuliza machafu yake tokea mwanzoni.
Ndio hivyo tumefikia.
Au sio?Suppressing voices leads to hidden explosions.
Mwenye picha ya huyo Mama Abdul aweke tafadhali. Mimi nipo kijijini huku, simfahamu.Nimekuwa nikimwona kama shetani kabisa. Hata wanawake japo huwa wanaroho mbaya ila linapo kuja swala la kuwa, aisee huwa ni viumbe udhaifu sana. Lazima atachukuliwa na emotions tu.
Ila Huyu 🐸 kazidi kwa kweli, si kawaida hii. Au ndo laana aliyoisema jiwe inatutafuna?
Yaani with every revelation yeye ndo anazidi kufanya ufuksa, it's getting worse na tunakoelekea ni kubaya zaidi..
Kwa nini asiji achie tu na akimbie nchi? Tayari wameshakua na kutunyonya vya kutosha. Umri wenyewe umesha kwenda, kufa atakufa tu. Lakini hata wisdom ya kujua non of this shit is permanent, bali ni kuwaachia kizazi chako laana za watanzania tu.
Jamani, yaani ni navyo umia kisa hichi kiumbe, lolote limkute tu. Yaani she's more than a monster. Kila nikiangalia clip za mange, Heche, na Lissu. Huwa nashangaa ni kwa nini sis kama taifa hata tusiungane tukapiganie hii nchi? Kwa nini watu wachache wawe sadaka?
Aisee sijui watanzania wenzangu mnalionaje hili swala, ila ni hatari sana both kihisia na kisaikolojia kuona yanayotokea mbele ya macho yetu na kuwa sawa kuendelea kuishi kwa amani.
Labda kama tumerogwa au ni utamaduni Wetu to not care about anything.
Aisee, haya majitu haya!
Huyu sii Alisha vuta kweli?Nimekuwa nikimwona kama shetani kabisa. Hata wanawake japo huwa wanaroho mbaya ila linapo kuja swala la kuuwa watu, aisee huwa ni viumbe udhaifu sana. Lazima atachukuliwa na emotions tu.