Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Lema aliwahi kumwambia huyo unayemtegemea si Mungu. Ipo siku hatakuwepo na utakosa mtetezi. Sabaya akacheka kwa dharau. Leo yametimia yale aliyosema Lema miaka mitatu iliyopita.
 
Na kweli, hamna cha kupoteza! Mmeshpoteza yesu wenu wa lugola, mtapoteza nini tena, labda maisha yenu tu sasa!!
 
Unataka kufufua mambo? Bomu la Soweto linamhusu? Dk Mollel alisemaje?

Mimi sitetei mtu, kama ana makosa na ushahidi upo wazi kwa nini asitumbuliwe?
 
Kama anajua makosa yake alitakiwa amtumbue.
 
Kama anajua makosa yake alitakiwa amtumbue.
Huu ujinga wa neno "mtumbue" tulishauzika, na hatujawahi kulisikia hili neno tokea tupate uhuru, until tulivyoingizwa chaka na kuwapa nchi washamba
Na sasa hili neno "mtumbue" muda wake umeisha na hautalisikia tena......
Sasa nchi inaendeshwa kiuweledi, kama una makosa unasimamishwa kazi na hapo ndio ujue imetoka hiyo..........
 
Muache mama afanye kazi kwa busara mamiradi ya kijinga ayapige chini maana alopita alijali jengajenga tuu hasa kanda yake. Mama yuko vizuri hatuna wasiwasi
 
Ndio tunachotaka atekeleze miradi tutampa kura tofauti na hapo tutamfurusha yeye na CCM yake
Kuweni wastahamilifu ndugu zangu. Mbona mwenda zake pamoja faulo zote alizocheza mlikaa kimyaaaaaa kama maji mtungini. Mbona mnataka kumhukumu mama kwa miezi miwili tu? Tumpeni mama muda ajipange na apange safu yake.
 
Tunaelekekea huko huko utopolo potelea karibu, tuliandikiwa tuwepo huko alfa na omega.
Kazi inaendelea 🕺👍
 
Wachawi huwa hawapendi maendeleo, mmeshaanza kumzodoa na kumtafuta makosa Mama yetu
 
Unataka kufufua mambo? Bomu la Soweto linamhusu? Dk Mollel alisemaje?

Mimi sitetei mtu, kama ana makosa na ushahidi upo wazi kwa nini asitumbuliwe?

Dr. Mollel si angepeleka huo ushahidi maana yuko ccm na hizo mahakama zinaitii ccm? Kwa sasa ccm ikiendelea kuwa madaraka huo ukweli hautakaa ufahamike maana kuna kulindana, ila iko siku.
 
Dr. Mollel si angepeleka huo ushahidi maana yuko ccm na hizo mahakama zinaitii ccm? Kwa sasa ccm ikiendelea kuwa madaraka huo ukweli hautakaa ufahamike maana kuna kulindana, ila iko siku.
Jibu unalo, kaa kimya usigusie mabomu ya Arusha.
 
wiki iliopita kulikuwa na mjadala wa rais kugawa benz ya mil 450 kwa rais Mwinyi na baada ya mda mfupi akaja kugawa nyumba kwa JK. Mjadala ulikuwa mkubwa sana na watu kuhoji kwanini hela za walipa kodi maskini ambao hata kula yao kwa siku ni shida zitumike vibaya. kwa maana wapewe tena matajiri ambao washashiba. SSH akaamua kumtumbua sabaya ili kuupoza kama si kuuzima kabisa moto huu. na walipa kodi tukahama na kufurahi kusimamishwa kwa sabaya. watz inabidi tubadilike, tufocus zaidi kwenye maslahi mapana ya nchi na si mambo madogo madogo ya kimbeq mbea.
 
Lini ccm ilitegemea kura yako? Hata mnaemuabudu hakutegemea kura zenu.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Huo mjadala wa gari naona ukikaa kimbeya kea sababu nasikia hiyo gari hanunuliwi Bali ni mmoja Kati ya magari yaliyokuwepo pale ikulu hayana kazi.

Ni kweli tumshawishi mama atupe katiba mpya huo Ndio mustakabali mwema wa taifa letu. Pia tuache kudeal na watu tudeal na system, tukiweza kubadili system ya kiungozi hapa nchini basi mambo yatakuwa sawa sawia
 
Hizo zawadi zimetolewa na SSH baada ya JPM kufariki, ilikuwa zitolewe mwezi March ila ratiba ikabadilika.

Wanayoyafanya marais ni makubwa sana tatizo letu ni ile akili hasi ya kitanzania, fanya mema tisa na baya moja na hilo baya ndilo litakalokuwa habari ya maana kuliko yale tisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…