Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Yaani kuwa watu humu walidhani Rais wa awamu ya sita ataleta mabadiliko ya ghafla kama ilivyokuwa kifo cha mwendazake. Mleta mada na wote wanaokuunga mkono ni vema mkajua kuwa Rais hatakidhi matamanio ya wote na kwa sasa hajzkidhi matamanio yenu. Hakuna kiongozi makini anayeweza kukidhi matamanio ya wote.
Kuna busara katika kuwa watulivu na wavumilivu wakati Mama anapoweka mambo sawa hata kama si kwa kasi tuipendayo.
Nchi hii ni yetu sote.

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Th President can not respond to each and every issue, the Minister for energy has a capacity to handle this simple issue and has already acted accordingly
 
Next, Watumishi watakosa mishahara.

Ipo siku, kama naiona.
Hiyo ipo karibu sana, polisi
tutwapigia simu kuwa tumevamiwa na majambazi tutaambiwa gari hazina mafuta, hakimu mahakamani hataandika hukumu hadi washitakiwa wanunue karatasi,nk
"...ukiona wapinzani wako wanakupongeza, jitafakari kuna sehemu haupo Sawa...." JPM(rip)
 
nchi za kiAfrika zinahitaji ubabe sio udikteta

so i hope mama atakua mbabe zaidi maana ndio lugha tunayoelewa

civilization is still taking shape in Africa, we are almost there (20% implemented)!
 
Mnatupia mama lawana kila kitu hilo shirika halina manager, hamna waziri anayesimamia hilo shirika, hamna katibu mkuu, acheni upopoma!

Mama tunaandamana apewe 5 tena! Ukijickia kichefu chefu ndimu itakusaidia
 
Sio mara ya kwanza Luku kwenda chini.... Hata wakati wa mwendazake ilikuwa inapiga chini
 
Welcome to my club Mkuu there is no fee to become a member. Mama Samia is HOPELESS. Utasikia kesho anaruka kwenda Dom/Zenj au kwenye mualiko mwingine wa Museveni 😂😂
 
Usisahau foleni ya bandarini,
Bado yuko bize mitandaoni.
 
Muda mwingine muwe mnawaza nje ya box kabla ya kupost,
Why lawama ziende kwa Rais na si kwa waziri muhusika?
Malalamiko na hujuma za kijinga hizi
 
Mnamtupia mama lawana kila kitu hilo shirika halina manager, hamna waziri anayesimamia hilo shirika, hamna katibu mkuu, acheni upopoma!

Mama tunaandamana apewe 5 tena! Ukijickia kichefu chefu ndimu itakusaidia
 
Welcome to my club Mkuu there is no fee to become a member. Mama Samia is HOPELESS. Utasikia kesho anaruka kwenda Dom/Zenj au kwenye mualiko mwingine wa Museveni [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Soon atakwepa lile pipa kubwa kwenda Dom[emoji1]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: BAK
Haiwezekani, nchi inafikia hatua ya kupanga foleni kununua LUKU mkuu wa nchi upo kimya tu huna uamzi wwte unaotoa,

ilianza TRA imefata LUKU what next?
Hii ilitakiwa imng'oe MD wa Tanesco yupo soft sana, wananchi wanakosa huduma yeye yupo kimyaaaa mpaka waziri atoe tangazo
 
Welcome to my club Mkuu there is no fee to become a member. Mama Samia is HOPELESS. Utasikia kesho anaruka kwenda Dom/Zenj au kwenye mualiko mwingine wa Museveni 😂😂
Hata wewe🤣🤣🤣🤣
 
Reactions: BAK
Kwel kabisa sababu Rais kakidh matamanio ya wauza majenereta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…