Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Next, Watumishi watakosa mishahara.
Ipo siku, kama naiona.
Ipo siku, kama naiona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini Rais Samia ahangaike na TANESCO wakati waziri yupo? Nini maana ya kuwa na wasaidizi sasa?Haiwezekani, nchi inafikia hatua ya kupanga foleni kununua LUKU mkuu wa nchi upo kimya tu huna uamzi wwte unaotoa,
Boshenihuyo mama yupo hapo kikatiba tu ila amna kitu
Rais mama Samia anaweza sana tu mkuuhuyo mama yupo hapo kikatiba tu ila amna kitu
Th President can not respond to each and every issue, the Minister for energy has a capacity to handle this simple issue and has already acted accordinglyHaiwezekani, nchi inafikia hatua ya kupanga foleni kununua LUKU mkuu wa nchi upo kimya tu huna uamzi wwte unaotoa,
ilianza TRA imefata LUKU what next?
mweshmiwa unachotakiwa ujue ni kua hii nchi imejaa watu wenye viburi sana na wameshika nyadhifa kwaiyo ukiendeleza lugha za kilembo imekula kwako, minne itakutosha
nimeboeka😏
Hiyo ipo karibu sana, polisiNext, Watumishi watakosa mishahara.
Ipo siku, kama naiona.
Haiwezekani, nchi inafikia hatua ya kupanga foleni kununua LUKU mkuu wa nchi upo kimya tu huna uamzi wwte unaotoa,
ilianza TRA imefata LUKU what next?
mweshmiwa unachotakiwa ujue ni kua hii nchi imejaa watu wenye viburi sana na wameshika nyadhifa kwaiyo ukiendeleza lugha za kilembo imekula kwako, minne itakutosha
nimeboeka😏
Usisahau foleni ya bandarini,Haiwezekani, nchi inafikia hatua ya kupanga foleni kununua LUKU mkuu wa nchi upo kimya tu huna uamzi wwte unaotoa,
ilianza TRA imefata LUKU what next?
mweshmiwa unachotakiwa ujue ni kua hii nchi imejaa watu wenye viburi sana na wameshika nyadhifa kwaiyo ukiendeleza lugha za kilembo imekula kwako, minne itakutosha
nimeboeka😏
Muda mwingine muwe mnawaza nje ya box kabla ya kupost,Haiwezekani, nchi inafikia hatua ya kupanga foleni kununua LUKU mkuu wa nchi upo kimya tu huna uamzi wwte unaotoa,
ilianza TRA imefata LUKU what next?
mweshmiwa unachotakiwa ujue ni kua hii nchi imejaa watu wenye viburi sana na wameshika nyadhifa kwaiyo ukiendeleza lugha za kilembo imekula kwako, minne itakutosha
nimeboeka😏
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Welcome to my club Mkuu there is no fee to become a member. Mama Samia is HOPELESS. Utasikia kesho anaruka kwenda Dom/Zenj au kwenye mualiko mwingine wa Museveni [emoji23][emoji23]
Hii ilitakiwa imng'oe MD wa Tanesco yupo soft sana, wananchi wanakosa huduma yeye yupo kimyaaaa mpaka waziri atoe tangazoHaiwezekani, nchi inafikia hatua ya kupanga foleni kununua LUKU mkuu wa nchi upo kimya tu huna uamzi wwte unaotoa,
ilianza TRA imefata LUKU what next?
Hata wewe🤣🤣🤣🤣Welcome to my club Mkuu there is no fee to become a member. Mama Samia is HOPELESS. Utasikia kesho anaruka kwenda Dom/Zenj au kwenye mualiko mwingine wa Museveni 😂😂
Kwel kabisa sababu Rais kakidh matamanio ya wauza majeneretaYaani kuwa watu humu walidhani Rais wa awamu ya sita ataleta mabadiliko ya ghafla kama ilivyokuwa kifo cha mwendazake. Mleta mada na wote wanaokuunga mkono ni vema mkajua kuwa Rais hatakidhi matamanio ya wote na kwa sasa hajzkidhi matamanio yenu. Hakuna kiongozi makini anayeweza kukidhi matamanio ya wote.
Kuna busara katika kuwa watulivu na wavumilivu wakati Mama anapoweka mambo sawa hata kama si kwa kasi tuipendayo.
Nchi hii ni yetu sote.
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Hata wewe🤣🤣🤣🤣