Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Hakuna ujambazi ulio ongezeka.tofauti ni kwamba miaka mitano nyuma vyombo vya habari havikuwa huru kuripoti..na sasa vipo huru .mwendazake alikuwa raisi wa hivyo kabisa
Cheki libishi hili
 
Kinyago mlichonga wenyewe SASA kinawatisha. Katiba mbovu imempa Samia URais SASA mnalia .
 
sometimes you go through the title and think huyu mtu anajua anachozungumza but in the end unagundua content imejaa ujinga mwingi mnoo
 
Kitaani mzunguko wa miamala umepungua Sana. Hii nimegundua kwenye miamala baada ya kufanya tathimini kwenye biashara ya Tigo pesa, airtel money na mpesa ninayoiendesha.

Idadi ya wateja wanaotuma na kutoa pesa imepungua na wale wanaotuma, au kutoa wanatuma au kutoa kiasi kidogo cha fedha,ikfuatiwa na kupata kamishen kidogo.
 
Uliwahi kuongezeka lini?? Tuache unafiki
 
Hii inaweza kuwa na tafsiri tofauti pia labda watu wamepunguza kuweka hela kwenye simu na kutumia cash zaidi au waombaji wa hela wamepungua, wazee wa naomba na ya kutolea bro.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
sorry sijui ni kuulize ni hiv research mnafanyaga ni kwa sample space gani.?

maana mitaa niliopo pesa inazunguka kama kawa wala haijapungua ktk factor yoyote ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…