secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Cheki libishi hiliHakuna ujambazi ulio ongezeka.tofauti ni kwamba miaka mitano nyuma vyombo vya habari havikuwa huru kuripoti..na sasa vipo huru .mwendazake alikuwa raisi wa hivyo kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheki libishi hiliHakuna ujambazi ulio ongezeka.tofauti ni kwamba miaka mitano nyuma vyombo vya habari havikuwa huru kuripoti..na sasa vipo huru .mwendazake alikuwa raisi wa hivyo kabisa
Ngoja siku majambenga yakupige kisu cha mataqo....ndio utajua hujuiNarudia tena, sukuma gang finished. Mtabaki kulialia nyuma ya keyboard hapa JF! Hamna kitu mtafanya.
Wasiojulikana kwa jazba ni hatariAcheni ujinga, kwani sukuma gang ndio wanaendesha vitendo vya kijambazi ?
Majambaz wanajulikana ni mafisadi
Wanaweza kukunyandua bila kingaWasiojulikana kwa jazba ni hatari
🤣🤣🤣🤣Nyie si mlisema samia atakuwa anagawa mahela barabarani? Vipi imekuwaje?
Mlikuwa mnalalama humu kila siku ati ooh Magufuli anatubania hela kazificha!
Kulikoni? Kwani Bibi Kizee Samia anasemaje?
Uliwahi kuongezeka lini?? Tuache unafikiKitaani mzunguko wa miamala umepungua Sana. Hii nimegundua kwenye miamala baada ya kufanya tathimini kwenye biashara ya Tigo pesa, airtel money na mpesa ninayoiendesha.Idadi ya wateja wanaotuma na kutoa pesa imepungua na wale wanaotuma, au kutoa wanatuma au kutoa kiasi kidogo cha fedha,ikfuatiwa na kupata kamishen kidogo.
Hahahahhahh jamaa anachekesha kweli kwamba anataka rais aongeze pesa kwenye M-pesa yake wakati hata budget tu ya mwaka huu itatekeleza ya Magufuli maana ilikuwa ishawasilishwa tayari.Hivi huko mitaani huwa kuna carousels za mahela?
Hapo umeharibu tu kiingereza chakoHivi huko mitaani huwa kuna carousels za mahela?
Hii inaweza kuwa na tafsiri tofauti pia labda watu wamepunguza kuweka hela kwenye simu na kutumia cash zaidi au waombaji wa hela wamepungua, wazee wa naomba na ya kutolea bro.Kitaani mzunguko wa miamala umepungua Sana. Hii nimegundua kwenye miamala baada ya kufanya tathimini kwenye biashara ya Tigo pesa, airtel money na mpesa ninayoiendesha.Idadi ya wateja wanaotuma na kutoa pesa imepungua na wale wanaotuma, au kutoa wanatuma au kutoa kiasi kidogo cha fedha,ikfuatiwa na kupata kamishen kidogo.
sorry sijui ni kuulize ni hiv research mnafanyaga ni kwa sample space gani.?Kitaani mzunguko wa miamala umepungua Sana. Hii nimegundua kwenye miamala baada ya kufanya tathimini kwenye biashara ya Tigo pesa, airtel money na mpesa ninayoiendesha.Idadi ya wateja wanaotuma na kutoa pesa imepungua na wale wanaotuma, au kutoa wanatuma au kutoa kiasi kidogo cha fedha,ikfuatiwa na kupata kamishen kidogo.