Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mataga muacheni mama atuongoze bila ukatili. Hao masikini watapataje ajira bila matajiri kuanzisha biashara.
juuu mama sio mwenzetu kansas..hana vina sana vya kuwa mwana ccm...juuu ni mwana ufipa aliyechangamka
 
Mataga muacheni mama atuongoze bila ukatili. Hao masikini watapataje ajira bila matajiri kuanzisha biashara.
ukatili gani kwani uko Nyuma ulikua wafanyiwa ukatili gani? kwahiyo saiv inakuingia bila ukatili
 
Mataga na Wanyonge mtaishi maisha magumu sana iwapo mtaendelea kuomboleza, badala ya kuamka na kufanya kazi. Hakuna tena ugali wa bure kwa sasa. Fanyeni kazi kwa bidii ili na nyinyi muwe matajiri. No way out!!
 
non sense
Mataga na Wanyonge mtaishi maisha magumu sana iwapo mtaendelea kuomboleza, badala ya kuamka na kufanya kazi. Hakuna tena ugali wa bure kwa sasa. Fanyeni kazi kwa bidii ili na nyinyi muwe matajiri. No way out!!
 
Your damn shit god is gone! Crying like little children won't help you. Things have fallen apart!! Mataga, wake up now!!
 
1622914284323.png


Tuache unafiki ... ..... ....
Wakati wa kuingia na maongezi Covid -19 imeshamiri.


1622914343301.png


Wakati wa kuagana Covid-19 Imekwisha .... .

1622914402930.png


Rais SSH Wacha unafiki! Mwenyezi Mungu anakuona.
 
Waziri wa mambo ya ndani anafanya nini? Na IGP anafanya nini na maaskari wake? Hebu waunde kikosi kitembee mtaa kwa mtaa kujua kazi ya kila mtu na suspect awekwe kwenye kikaango cha ujunguzi mbona huo wizi utakwisha.

Shida iko kwa mkuu wa nchi. Ni makosa kuonesha publicly mtazamo hasi dhidi ya vyombo vya dola. Nao ni watu na hisia zao. Watajipa likizo bubu ili waone yeye ana ujanja gani wa kuhakikisha nchi haiyumbi.
 
Kwa mara ya Kwanza GENTAMYCINE nashuhudia Watanzania wakiwa wala hawana Habari na Hotuba ya Bajeti Kuu huko Dodoma (Leo) na pia wala hawana Habari na Mechi muhimu ya Kirafiki kati ya Tanzania na Malawi Jumapili hii ijayo.

Mazingira haya hayajawahi kuwepo kwa miaka mingi katika Vichwa vya Watanzania hali inayoonyesha kuwa huenda kuna Mtanzania Mmoja 'anawakwaza' Watanzania au huenda na Watanzania nao wanatakiwa kwenda Muhimbili wakiongozana na Mchezaji wa Simba SC Jonas Mkude wakapimwe Akili.

Kuna Mtu anadhani anapatia ila kumbe akawa anaharibu (anakosea) na Watanzania nao wameamua 'Kumsusia' nchi yake ' Kimtindo ' ili waone Pumzi yake ambayo nami naiona asipokuwa makini itamuishia akiwa njiani kabla hata ya Oktoba 2025.
 
unafikiri ni kazi rahisi kurecover baada ya safari ya mateso na vurugu za kila aina? gari inamilio kila mahala, gari imefungwa kamba na mipira kila mahala, tairi zote zina viraka....unataka dereva mpya aanze mambio?
 
Kwa mara ya Kwanza GENTAMYCINE nashuhudia Watanzania wakiwa wala hawana Habari na Hotuba ya Bajeti Kuu huko Dodoma (Leo) na pia wala hawana Habari na Mechi muhimu ya Kirafiki kati ya Tanzania na Malawi Jumapili hii ijayo...
Watu wanasubiri uchambuzi wake. Maneno ni mengi na hujirudiaeudia.
 
Ukweli ni kwamba watanzania wengi nazungumzia level ya watu wa kawaida kabisa ambao ni wengi bado hawapo tayari kuishi kwenye maisha ya JK life style (awamu ya nne) kwa maana mfumo ule umekaa kibepari sana ambapo wachache wananufaika , huku wengi wakibaki mikono mitupu mfumo huu ndio Samia anaufata

Kingine na huu ndo ukweli watanzania walikuwa hawapo tayari kuwa na Rais Mwanamke
 
Tulisema huyu mpwani lao moja kurudisha Mji Mkuu Dar. La kushangaza Dodoma ndege kubwa zinatua ila ziara ya Rais wa Botswana tunaona kupokelewa Dar na tafrija zote Dar.

Samia ajue kwamba Magufulist tunamuangalia tukijua kura za magufuli ndio zimempa urais. Tungependa kuona Dodoma inapewa haki yake ya Mji Mkuu. Magufuli hakukosa sehemu Dodoma kufanya shughuli yoyote ila mtu mpenda fahari na kujikweza ataona kuna vitu Dodoma bado haikidhi.

Yetu macho. Hatutaki maonesho tunataka utendaji wa kimagufuli. Tulimpigia yeye kura samia usituzingue.
 
Back
Top Bottom