kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,072
- 1,545
Naweza mtetea mama Samia. Ana kazi ya kurejesha uungwana kwa walioumizwa na awamu ya tano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama alitoa tahadhari hela itapungua mzunguko wake kwa sababu hataki dhuluma za kabambikia watu makosa na makodiKitaani mzunguko wa miamala umepungua Sana. Hii nimegundua kwenye miamala baada ya kufanya tathimini kwenye biashara ya Tigo pesa, airtel money na mpesa ninayoiendesha.Idadi ya wateja wanaotuma na kutoa pesa imepungua na wale wanaotuma, au kutoa wanatuma au kutoa kiasi kidogo cha fedha,ikfuatiwa na kupata kamishen kidogo.
Umeanza kuokota mahela barabarani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waliumizwaje hao watu?Naweza mtetea mama Samia. Ana kazi ya kurejesha uungwana kwa walioumizwa na awamu ya tano
Yes mkuu!!Subili watumishi wakilipwa madeni yao mzunguko wa hela utaongezeka.
Kweli kabisa,waombaji wa hela wamepungua, wazee wa naomba na ya kutolea bro.
Dogo inakuwaje ?Betrayal in the city!
Nyie si mlisema samia atakuwa anagawa mahela barabarani? Vipi imekuwaje?
Mlikuwa mnalalama humu kila siku ati ooh Magufuli anatubania hela kazificha!
Kulikoni? Kwani Bibi Kizee Samia anasemaje?
Wewe tuu ndio huna pesa baada ya mirija yako kuzibwa na kifo cha mwendazakeKitaani mzunguko wa miamala umepungua Sana. Hii nimegundua kwenye miamala baada ya kufanya tathimini kwenye biashara ya Tigo pesa, airtel money na mpesa ninayoiendesha.Idadi ya wateja wanaotuma na kutoa pesa imepungua na wale wanaotuma, au kutoa wanatuma au kutoa kiasi kidogo cha fedha,ikfuatiwa na kupata kamishen kidogo.
Haikusaidii kufufua mtu.Kitaani mzunguko wa miamala umepungua Sana. Hii nimegundua kwenye miamala baada ya kufanya tathimini kwenye biashara ya Tigo pesa, airtel money na mpesa ninayoiendesha.Idadi ya wateja wanaotuma na kutoa pesa imepungua na wale wanaotuma, au kutoa wanatuma au kutoa kiasi kidogo cha fedha,ikfuatiwa na kupata kamishen kidogo.
She got no plans.Naamini samia hajui hata anachokifanya ni nini, yeye ni bora liende tu na kukuche, hana IQ nzuri ktk utawala.
Anateua vizee vilivyostaafu na kuvipa vyeo halafu baadhi anawaachisha ati wamestaafu as if nchi haina hazina ya human resource.
Amewateua wasagwaji akina temu kuwa mabalozi, sincerely tunakwenda mbele 1step kisha tunarudi 3steps backward.
Uyu ni mama bora liende tu hana ajualo TPDF watusaidie kuiweka sawa hii nchi.
Jamanibjamani watu mna kashfa..Hoyce msagwaji??khaa duniani bwanaNaamini samia hajui hata anachokifanya ni nini, yeye ni bora liende tu na kukuche, hana IQ nzuri ktk utawala.
Anateua vizee vilivyostaafu na kuvipa vyeo halafu baadhi anawaachisha ati wamestaafu as if nchi haina hazina ya human resource.
Amewateua wasagwaji akina temu kuwa mabalozi, sincerely tunakwenda mbele 1step kisha tunarudi 3steps backward.
Uyu ni mama bora liende tu hana ajualo TPDF watusaidie kuiweka sawa hii nchi.
Kwa vile sio katili basi kwenu ccm ni kwamba hana plan!!!!She got no plans.
Hata ukimuangalia usoni unaona hakuna kitu hapa.
Ni kweli uliyoyasema lakini kutoweka kwa pesa si miezi 2 ya utawala wa Mama Samia. Hali hii ni ishara kwamba hali mbaya ya mzunguko wa pesa iliyosababishwa na awamu ya tano ndio ilkua inafikia kilele au climax na ole wetu watanzania kama awamu ya tano ingeendelea kwa miaka mingine mitano.Kitaani mzunguko wa miamala umepungua Sana. Hii nimegundua kwenye miamala baada ya kufanya tathimini kwenye biashara ya Tigo pesa, airtel money na mpesa ninayoiendesha.
Idadi ya wateja wanaotuma na kutoa pesa imepungua na wale wanaotuma, au kutoa wanatuma au kutoa kiasi kidogo cha fedha,ikfuatiwa na kupata kamishen kidogo.