Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mama alitoa tahadhari hela itapungua mzunguko wake kwa sababu hataki dhuluma za kabambikia watu makosa na makodi
 
waombaji wa hela wamepungua, wazee wa naomba na ya kutolea bro.
Kweli kabisa,
aliiona watu wana hela kwenye huo muamala wake sababu vyuma vilikaza waaombaji hela wakaongezeka sana..........
sasa vibarua vimeanza kufunguka huoni hela inapitia mtandao wa tigo🤣😂
 
Naamini samia hajui hata anachokifanya ni nini, yeye ni bora liende tu na kukuche, hana IQ nzuri ktk utawala.

Anateua vizee vilivyostaafu na kuvipa vyeo halafu baadhi anawaachisha ati wamestaafu as if nchi haina hazina ya human resource.

Amewateua wasagwaji akina temu kuwa mabalozi, sincerely tunakwenda mbele 1step kisha tunarudi 3steps backward.

Uyu ni mama bora liende tu hana ajualo TPDF watusaidie kuiweka sawa hii nchi.
Nyie si mlisema samia atakuwa anagawa mahela barabarani? Vipi imekuwaje?

Mlikuwa mnalalama humu kila siku ati ooh Magufuli anatubania hela kazificha!

Kulikoni? Kwani Bibi Kizee Samia anasemaje?
 
Wewe tuu ndio huna pesa baada ya mirija yako kuzibwa na kifo cha mwendazake
 
Haikusaidii kufufua mtu.
 
She got no plans.

Hata ukimuangalia usoni unaona hakuna kitu hapa.
 
Jamanibjamani watu mna kashfa..Hoyce msagwaji??khaa duniani bwana
 
Ni kweli uliyoyasema lakini kutoweka kwa pesa si miezi 2 ya utawala wa Mama Samia. Hali hii ni ishara kwamba hali mbaya ya mzunguko wa pesa iliyosababishwa na awamu ya tano ndio ilkua inafikia kilele au climax na ole wetu watanzania kama awamu ya tano ingeendelea kwa miaka mingine mitano.
 
Naam,natumaini hamjambo na mniwie radhi kwa ukimya niliokuwa nao.

Kwanza naomba nieleweke kuwa sijaridhishwa na utendaji wa serikali tangia kifo cha jemedari.

Naomba kutaja mambo anuai ambayo yananinyima raha na amani.
1. Ziara za mara kwa mara kwa viongozi(nje ya nchi badala ya kutembelea wanyonge)
2. Rushwa kupamba moto wazi wazi
3. Ujambazi umeongezeke
4. Kupishana Kila siku(yani ndo umekuwa kazi ya Raise)
5. Kuleta chanjo mabeberu(ambayo hata wazungu wanaipinga)
6. Udini umeamka tena
7. Nchi haieleweki,hakuna tumaini tena.

Yani kimsingi mimi kama Mtanzania sijisikii amani tenaaa.yani wanyonge wanahali mbaya sanaa.

Any way, bado miaka 3 ya taabu hizi,na baada ya hapo amani itarejea tena chibi ya kijana wa jemedari Mh Majaliwa.

Yani kiufupi bado sijaielewa hii gvt!

NB: Sioni sababu ya kutoa mapovu na kufuta uzi juu wa kizalendo

"Mnikosoe kwa staha" Mh Suluhu

Halafu kwenye ajira hizi mpya kuna undugunaization tayarii!!!
#magema jr

#uvccm taifa
 
Mataga muacheni mama atuongoze bila ukatili. Hao masikini watapataje ajira bila matajiri kuanzisha biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…