Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Duh....!! Unaharibu uzi wa watu!! Unaua VIBE!
 
Amin Amin nakwambia mwendazake alikua na uwezo wa kuteka tu na sio kufanya mambo mwingine ya maendeleo.
 
Wakwanza kumpiga mama tofali ni yule sheikh mkuu abubakary yaani kaenda na korani kabisa na juzuu zote kichwanii lakin samia kaona dodo haliachwi kihasara hasara labda na yeye wamuue!
 
Mara hii mnaanza kumlaumu mama yenu wakati tunaambiwa Magufuli alikuwa dikteta na kila upuuzi. Muda si mrefu Tanzania siyo kumkumbuka tu bali itamlilia Magufuli asijitokeze.
i
 
Wakukurupuka ndani ya nyumba.
 
 

Unamwongelea Mama huyu?



Kama ni huyu mbona yuko vizuri?

Wapi alipokosea? J5 si haijafika? Wewe umekuwa nabii?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mwongozo wako tafadhali

Angalizo la kiungwana: kukosoa ni panapostahili na kwa staha.
 
Team malalamiko mnaendelea kulalamika..
Watanzania wengi furaha inaongezeka..

Usisahau kuwa kuna wengine wanahangaika kumfarakanisha Mama na yeyote na kwa lolote hata kama ni la kijinga:

 
Ndege haikukamatwa kule Canada? Hukumbuki world bank walimnyima mwendawazimu mkopo? Uchumi uko dhaifu hilo huhitaji kuwa genius kuliona.

Mataga mnahaha sana kutetea legacy uchwara.
 
Tatizo ni kuwa unaweza kutoa uharo badala ya nyongo!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!


Aaaaaiii ati uhoro! Unajua wananchi nimegundua mnawaza maeneo ya chini sana! Kama hauna bundle nikununulie ukapige nyetoo midaa ndo hii, au ushamaliza kutema ukaamua uzunguke Jf....
 
Aaaaaiii ati uhoro! Unajua wananchi nimegundua mnawaza maeneo ya chini sana! Kama hauna bundle nikununulie ukapige nyetoo midaa ndo hii, au ushamaliza kutema ukaamua uzunguke Jf....

Sasa hii nyongo unayotema jombi sababu yake nini mkuu?

Achana na bundle niko vizuri, pia nina pisi kali hapa pembeni yangu tu, hivyo usikonde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…