Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Wewe jamaa mpuuzi kweli kweli
 
Samia Kaishiwa! Ccm hawana uwezo wa kaconvince wananchii ! Yaani akubali 2 katiba awe amejitia kitanzii! Na hatokaa apite 2025

Sasa kajibiwa kijanja na Askofu... Haya mambo ccm washakwama kitambo sana



 
Hahahahahah mbn kama picha yako vile? Kwani haya maviatu ni vya pisi kali? Au ametokea mbagala kwa watu wa usafiri mgumu! Ndo kaona High heels hazifai! 😂😂[/QUOTE]
 
Hahahahahah mbn kama picha yako vile? Kwani haya maviatu ni vya pisi kali? Au ametokea mbagala kwa watu wa usafiri mgumu! Ndo kaona High heels hazifai! 😂😂


Hiyo pisi uhakika. Sina shaka udenda unakudondoka. Achana na alikotoka tambua niko vizuri kuliko unavyodhani. Mambo ya chaputa labda kwako.

Turejee kwenye mada:

Comments #15 na #21 kwa mwongozo wako tafadhali.
 
We Msukuma,muogope mungu wako,

Kifo siyo kitu Cha bahat mbaya,Magufuli kafa natural death and gone,makamu mama samia kikatiba akachukua madaraka,don't
Unawajua madokta waliokuwa wanamtibu siku za mwisho ,mbona atujulishwi wala kuwaona wakitueleza kitu chochote maana raisi JPM kafia madarakani unajua kwanini wamefichwa?
 
Teuzi zote alizofanya yaani hajazingatia Makundi mbali mbali

Yeye anaangalia kigezo cha Dini na jinsia tu hii sio haki hata kidogo.

Kuna
Wajane
Vipofu
Viziwi
Vilema
Alibino

Watanzania wenye asili ya India na uharabuni wanatakiwa kuonekana kwenye teuzi ili kuleta umoja wa kitaifa.

Na wapo kibao tu wengine tumesoma nao vyuo

Yaani teuzi zaidi ya 500 lakini hakuna kujali makundi mengine hii sio sawa!

Mama bado hatoshi kwenye kiti cha urais huu ndio ukweli !! Washauri wa mama mshaurini juu ya kuteua kila mtu bila kijali yupo vipi ili mradi tu aweze kutimiza majukumu yake!
 
Ovyo kabisaaa ww
Tazama vizuri watendaj wa serikal walionteuliwa wapo makundi maalum
 
Sasa mnarahizisha Kiti cha Urais.
Wajane,
Wagane,baadae na Masela nao mtasema awape nafasi.
Mwacheni afanye kazi
 
Unadinywa wewe. Unakumbuka baraza la mawaziri mwisho la Magufuli kabla hajafa? Alichagua watu wengi wa dini moja halafu dini nyingine haikuzidi hata asilimia tatu!
 
Achana na huyo mdini,tunataka mtu kwenye uwezo.
Udini utaturudisha kule nani achinje,nyama zakwenye makopo alichinja nani.
Huyo anayempangia Rais kupitia udini alitegemea uteuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…